Habari wakuu, kwasasa tumeingia mkataba wa kukopesha bidhaa zetu kwa baadhi ya bank ikiwemo NMB,EXIM,ABSA na CRDB hivyo kwa yeyote atakayehitaji bidhaa zetu kwa upande wa HISENSE na SAMSUNG BRAND anaweza kufanya mawasiliano nami kupitia whatsapp number 0714988215
NOTE: Wafanyakazi pekee wanaofanya kazi ndani ya hizo bank tajwa ndiyo watakaoweza kupata mkopo
Bidhaa tulizo nazo ni:
1.AC-all model
2.TV-all model
3.WASHING MASHINE
4.FRIDGE
5.FREEZER
6.SOUND BAR MUSIC SYSTEM
7.DISH WASHER
8.COOKER
9.COOLER-fridge zavinywaji
10.MICROWAVE
11.DRYER