Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,432
Bila shaka mkuu!! Karibu sana ujipatie huduma bora!!Safi...nitakutafuta..
mnapatikana wapi nikitaka kuja ofisi zenu?.
Wakuu sorry sana!! Tunapatikana moshi na dsm! Ila kazi ikidizainiwa inatumwa online kama pdf...siku hizi kuna whatsapp ambayo imerahisisha maisha, ukitumiwa unaweza print katika stationary yoyote iliyokaribu nawe!!Husemi uko wapi sasa?
Habari wana jamii?
Katika ulimwengu wa kisasa inapendeza sana kama mtu ukiwa na business card ambayo itakua rahisi kwako wewe kumpa mtu mawasiliano yako hasa katika biashara au mawasiliano ya kawaida, hakika utaonekana unaenda na wakati!!!
Nini faida ya business card? Unapompa namba ya simu au taarifa za kampuni au biashara ako ni rahisi kupoteza hata kama atahifadhi kwenye simu, ila ukiwa business card ni rahisi kutunza taarifa zako na hata kuwasiliana na wewe baadae!!
Leo nimeleta ofa kwa ajili yako, ofa ambayo itakupatia business card murua kabisa kwa ajili ya biashara yako au matumizi binafsi!! Utajipatia business card ya kisasa kabisa na inayovutia kwa bei nafuu kama ifwatavyo:
- Kudesidn business card ya kisasa kabisa kwa 12000/= Tsh (hii inakua pande moja au mbili/Two-sided business card).
- Kudesign na kuprint 22,000/= Tsh kwa pieces 100!!
Yote katika PDF na picha!
Je nini utapata baada ya huduma?
Kama mteja wangu sintakuacha hata baada ya kukupa business card yako!
Bado nitaendelea kukufanyia mabadiliko katika business card yako pindi utapohitaji (Updates), kukupa ushauri utapohitaji, hii yote ni bure kabisa (for free)!!
Tafadhali mteja kwa mahitaji unaweza nicheki kwenye namba hizi:
0717 252009 (Whatsapp)
0752 072900 (call, SMS)
0625 760188 (Call, SMS)
Tupo Dar es salaam na moshi
Moja ya kazi zangu (sample)
View attachment 476764
NB: Tunaamini katika UAMINIFU, UBORA WA KAZI NA KURIDHIKA KWA MTEJA!! KARIBU SANA MTEJA
Hizo tags zinakua za muundo gani una sample yake?? Ni zile za kubandika kwenye bidhaa??? Naomba kama unasample yake niwekee hapa au whatsapp? Je ulikua unataka ku print au ku design?Salaam,
Ninahitaji huduma moja. Nahitaji kutengeneza Tags, ambazo ni plastic kama hizo business zako, isipokuwa kama inawezekana nataka ziwe ndogo kama nusu ya hiyo business card, lakini precisely cut with clean round edges (sijuwi kama una mashine ya kukata size ndogo, maana size nayotaka ni nusu ya hizo business card). Hizo cards zitakuwa na sehem ya kujaza maandishi kwa mkono kwa kutumia marker pen (permanent marker), hizo pvc unazotumia zinaandikika kwa marker pen? Design tayari ninayo. Tukiafikiana itakuwa kazi endelevu kila baada ya muda fulani nitakuwa nahitaji pc kadhaa.
Karibu sana mkuu, unaweza pia kuweka order yako tukaifanyia kazi baada ya kumaliza hizi nnazozifanyia kazi!!Pamoja kiongozi
Thanks brooKaribu sana mkuu, unaweza pia kuweka order yako tukaifanyia kazi baada ya kumaliza hizi nnazozifanyia kazi!!
Once again welcome sana!!
Hizo tags zinakua za muundo gani una sample yake?? Ni zile za kubandika kwenye bidhaa??? Naomba kama unasample yake niwekee hapa au whatsapp? Je ulikua unataka ku print au ku design?
Kuhusu business cards, inategemea na inaweza wekwa kwa material ambayo itakua rahisi kwako kuandika na pen!! BTW Kwanini usiweke hayo maneno moja kwa moja na na uka print business card yakiwepo??
Karibu sana kiongozi!