Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Kamera inauzwa, inauwezo wa HD, Megapix 6.3. Inarekodi video mwanana kabisa, inachukua picha za uhakika na kuaminika. Jipatie sasa ili ufurahie msimu huu wa sikukuu kwa kuchukua matukio mbalimbali wewe na wapendwa wako. Pia kwa wale wenye stationery na watu wa passport inafaa zaidi maana passport zinatoka murua kabisa. Tupigie 0716107367, tunapatikana
Dar es salaam.
Dar es salaam.