RIETA AGROSCIENCES LTD
Member
- Dec 12, 2017
- 17
- 12
mnayo kiua magugu aina ya monocotiledon?RiceBac ni kiua magugu kitumikacho kuangamiza magugu ya aina mbalimbali katika zao la mpunga.
Wasiliana nasi kwa maelezo ya kutumia na namna ya kuipata mahali ulipo.
0755325442
...haina madhara kwa mpunga wenyewe, je kwa ekari 1 inagharimu sh ngapimnayo kiua magugu aina ya monocotiledon?
Haina haja ya kung'olea inshort ni dawa ya palizi! (japo sijaulizwa mimi)ukitumia hiyo inakua hamna haja ya kung'olelea tena??
RiceBac ina kiambato kinachoua magugu ya aina mbalimbali, dicotyledon na monocotyledons. Mpunga wenyewe hauathiriwimnayo kiua magugu aina ya monocotiledon?
Ni selective, huua magugu ya aina mbalimbali na haiui mpunga....haina madhara kwa mpunga wenyewe, je kwa ekari 1 inagharimu sh ngapi
Kwa ekari moja ni bei nafuu sana...haina madhara kwa mpunga wenyewe, je kwa ekari 1 inagharimu sh ngapi
Magugu ya mahindi haifai?RiceBac ni kiua magugu kitumikacho kuangamiza magugu ya aina mbalimbali katika zao la mpunga.
Wasiliana nasi kwa maelezo ya kutumia na namna ya kuipata mahali ulipo.
0755325442
Kama shamba liliandaliwa vema, hapana haja kupalilia kwa kung'oleaukitumia hiyo inakua hamna haja ya kung'olelea tena??
Sh 18,000 kwa ekari...haina madhara kwa mpunga wenyewe, je kwa ekari 1 inagharimu sh ngapi
Kwa mahindi haifai. Ipo dawa maalumu ya kupalilia mahindi tunayo inaitwa Lamex. Inaua magugu na kuacha mahindi tuMagugu ya mahindi haifai?
Inahitajika kiasi gani kwa eka?Kwa mahindi haifai. Ipo dawa maalumu ya kupalilia mahindi tunayo inaitwa Lamex. Inaua magugu na kuacha mahindi tu
Kwa ekari moja ni 60 mls tuInahitajika kiasi gani kwa eka?
Accent hamna?Kwa mahindi haifai. Ipo dawa maalumu ya kupalilia mahindi tunayo inaitwa Lamex. Inaua magugu na kuacha mahindi tu
okey mkuu asante sanaKama shamba liliandaliwa vema, hapana haja kupalilia kwa kung'olea
elf 18000 kwa hekari ni bei nzuri mkuu...uko maeneo gani??Sh 18,000 kwa ekari
Niko Mbeya, unaweza kuipata dawa hii popote Tanzania. Tuna vituo katika karibu Kila WILAYAelf 18000 kwa hekari ni bei nzuri mkuu...uko maeneo gani??
Kwa mahindi haifai. Ipo dawa maalumu ya kupalilia mahindi tunayo inaitwa Lamex. Inaua magugu na kuacha mahindi tu