Frankdaniel711
JF-Expert Member
- Oct 8, 2018
- 366
- 140
Bei za uswazi sijakuelewaNahitaji Brenda ya Lita 1 bei za uswazi
45-60 kama sijakosea
Kwa bei 45_ 60 kwa Brenda original mh sizani45-60 kama sijakosea
Nawakubali kenwood nilinunua miaka sita iliyopita mpaka leo inapiga kazi ilikuwa elfu 90,juzi nimeenda dukani wakanambia wanauza laki na ishirini
Hizo ndo bei za uswazi, sio blender laki mbili
Uswazi ina mana uswailini ni sawa kwa iyo bei lakin wanasemaga kizuri kina gharama mwisho wa siku mtu unajutaHizo ndo bei za uswazi, sio blender laki mbili
Ofukozi kizuri gharamaUswazi ina mana uswailini ni sawa kwa iyo bei lakin wanasemaga kizuri kina gharama mwisho wa siku mtu unajuta
Sent using Jamii Forums mobile app