Jipatie design za kuchapa mavazi yako (Merchandise) kama brand.

Joined
Mar 4, 2019
Posts
49
Reaction score
49
Wengi tunapenda kuvaa na kupendeza, hata hivyo wengi tungelipenda kuona mavazi yakituingizia kipato.

Kwa zaidi ya miaka minne sasa nimekuwa mbunifu katika mavazi kwa ajiri ya brands, musicians, clubs, stores, food stp'es, festivals yaani (Merchandise) na mengine.

Nikiwa kama part time Freelancer creative designer SNASH utaweza kuona ni jinsi gani nimefanya ubunifu mbalimbali.

Nimefanya kazi na Bootshaus, Plastik Funk, Leon Brooks, TONSPIEL, SNASH, House Fans, Defected na wengine wengi.

Nikiwa specialized katika designs zinazoweza kuchapwa katika mavazi kwa style mbalimbali.


Bootshaus Hoodie


Defected T-shirts



Plastik Funk Merch.



East, Sleep, Deep Repeat. TONSPIEL



House Fans



Sergio 53R810 Merch


Gunners


Ukipenda kufanya kazi ama kushirikiana na mimi nitafute kwa sajorsergiosjanic@gmail.com kwa Tanzania nipate kupitia WhatsApp +255755476775.
 

Attachments

  • InShot_20190327_021923153.jpg
    167.7 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…