Wewe ni ke?Karibuni
Samahani kama ntakukwaza kwa swali langu mkuu. Ila nauliza kwa nia njema sana.Watanzania bado tuna safari ndefu jinsi ya kufanya biashara
Labda alikua ananitarget mimi nikacheka maana kila mtu ana njia zake za kufikia wateja so kama anadhani tunafundishana hapa mjini au kupangiana apewe pole na kiranga chake,,,,,,Samahani kama ntakukwaza kwa swali langu mkuu. Ila nauliza kwa nia njema sana.
Kwanini unasema watanzania bado tunasafari ndefu jinsi ya kufanya biashara? Na labda ungempa ushauri gani (Kama ingekua ni wewe unaefanya hio biashara)?
Pengine aliku target wewe, ila kwa ufupi amefikisha ujumbe kwa wote, ndio maana nikamuomba akupe ushauri ili tujifunze na sisi. Yeye anaonekana ni mtaalamu wa biashara.[emoji18]Labda alikua ananitarget mimi nikacheka maana kila mtu ana njia zake za kufikia wateja so kama anadhani tunafundishana hapa mjini au kupangiana apewe pole na kiranga chake,,,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
HaswaaNa I fahamu hizi earphone. Zimeandikwa SAMSUNG. Hapa Dom zinauzwa elfu 15. They are very good and fairly durable
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuuPengine aliku target wewe, ila kwa ufupi amefikisha ujumbe kwa wote, ndio maana nikamuomba akupe ushauri ili tujifunze na sisi. Yeye anaonekana ni mtaalamu wa biashara.[emoji18]
Kuna baadhi ya watu hua hawajui kutoa support, chochote mtu anachofanya kwao hakikosi kasoro. Sijui mtu ufanye nini waridhike. Ila kwa upande wangu, binafsi ulivyo toa hio offer kwa mtu mwenye mahitaji asingeikataa (bei rahisi + unaokoa gharama na muda wa usafiri).