JIpatie friji aina ya beko, Namba 0627927909

Kwa wateja wajumla wanahitaji yanapatikana kwa 700000
 
Kamilisha tangazo ili kupunguza maswali sio kila mtu akupigie simu wakati hakuna ulazima.
Weka details za kutosha Friji iwe na taarifa zake zilizokamilika, mpya? Imetumika muda gani?
Upo sehemu gani?
Option kwa Wateja walio mbali nawewe una utaratibu gani na mambo mengine ya msingi.
Usifanye biashara kisela hutauza hapa ni jamiiforums sio Facebook
 
Nimekuelewa bt nia yangu ilikuwa kukamilisha sasa katika kupost nikawa nipost nusu samahani kwa usumbufu uliojitokeza boss
 
Nimekuelewa bt nia yangu ilikuwa kukamilisha sasa katika kupost nikawa nipost nusu samahani kwa usumbufu uliojitokeza boss
Napatikana kunduchi line police ndipo ofisi zangu zilipo.
Nadhughulika nauzaji wa mashine na vifaa vya vyote vya mashuleni kama vile lim paper kwa jumla na thamani za ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…