Jipatie gari aina ya raum kwa bei nafuu

Jipatie gari aina ya raum kwa bei nafuu

Joined
Feb 12, 2013
Posts
29
Reaction score
1
Jipatie gari aina ya RAUM kutoka Toyota ya mwaka 2007, injini yake ina ukubwa wa 1500cc. Ni yenye milango mitano (5), ina uwezo wa kubeba watu watano (5) kwa 4,290 USD tu. wasiliana nami kupitia email hii samsonmichael72@yahoo.com au tembelea website yetu www.japancarexporter.org. kama unaswali unaweza kuniandikia sms kisha tuma kwenye namba hii 0753369921. fe7de1fadd50e46ac706799c01817d8c.jpg
 
Nimekuelewa mkubwa yaani hiyo ni CIF (bei ya gari pamoja na kulisafirisha toka japan mpaka port ya dar es salaam) ni bei nzuri kulingana na model ya gari tatizo ni hapo bandarini chaji za TRA na bandari lazima zitasoma 4ml na laki chache ukijumlisha na hiyo bei tunarudi kulekule...anyway naomba chasis namba ya hiyo gari
 
$ 4920 @ Tshs 1,600/$ = Tshs 7,872,000
Kodi labda tuseme Tshs 4,500,000
Gharama zingine kama Agency Fees, Documentation na Bima Tshs 1,000,000
Total Tshs 13,372,000/=
[TABLE="width: 76"]
[TR]
[TD="class: xl63, width: 76, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
hii ndoto yangu itatimia sijui mwaka gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimekuelewa mkubwa yaani hiyo ni CIF (bei ya gari pamoja na kulisafirisha toka japan mpaka port ya dar es salaam) ni bei nzuri kulingana na model ya gari tatizo ni hapo bandarini chaji za TRA na bandari lazima zitasoma 4ml na laki chache ukijumlisha na hiyo bei tunarudi kulekule...anyway naomba chasis namba ya hiyo gari

Exactly atupatie hyo chasis number ya gari cz ni muhimu. Alaf tujue tunafanyaje !!
 
Nimekuelewa mkubwa yaani hiyo ni CIF (bei ya gari pamoja na kulisafirisha toka japan mpaka port ya dar es salaam) ni bei nzuri kulingana na model ya gari tatizo ni hapo bandarini chaji za TRA na bandari lazima zitasoma 4ml na laki chache ukijumlisha na hiyo bei tunarudi kulekule...anyway naomba chasis namba ya hiyo gari

Model: CBA-NCZ20-AHPXK
Engine: 1NZ-FE
Frame no: NCZ20-0115592
Color Trim Plant
3P0 FA40 N11
Trans./axle: U340E- 01A
 
Model: CBA-NCZ20-AHPXK
Hakuna kitu kama hicho. Siku ingini ukiulizwa model ya hiyo gari sema "RAUM." Unawezaje kufanya biashara ya magari wakati hujui model ya gari ni kitu gani jamani? That's a 2007 Toyota Raum, that's year, make and model. Period.

Naomba VIN yake tafadhali.
 
Nashukuru hiyo ni model code, lakini si nimeisha eleza kwenye Tangazo pale juu.
 
hii ndoto yangu itatimia sijui mwaka gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Usijali,thats a little bit expensive,kuna jamaa tuko nae ofisi moja,kaagiza kupitia tradecar view,na CIF ilikua around USD 3500 including paytrade....
 
Kama CIF ni $4290 sasa unafuu uko wapi hapo? Kwa hela hiyo unanuna gari popote unapotaka. Cheap car should be less than $2000.
 
Back
Top Bottom