Intellectual Savior
Member
- Feb 12, 2013
- 29
- 1
mkuu hiyo $ 4920 ni kwa hapa tz au japan??
Mkuu hiyo mpaka bandarini, karibu sana.
Nimekuelewa mkubwa yaani hiyo ni CIF (bei ya gari pamoja na kulisafirisha toka japan mpaka port ya dar es salaam) ni bei nzuri kulingana na model ya gari tatizo ni hapo bandarini chaji za TRA na bandari lazima zitasoma 4ml na laki chache ukijumlisha na hiyo bei tunarudi kulekule...anyway naomba chasis namba ya hiyo gari
kwa hiyo bandarini unatoa nyingine kwa ajili ya tax au?
exactly atupatie hyo chasis number ya gari cz ni muhimu. Alaf tujue tunafanyaje !!
Nimekuelewa mkubwa yaani hiyo ni CIF (bei ya gari pamoja na kulisafirisha toka japan mpaka port ya dar es salaam) ni bei nzuri kulingana na model ya gari tatizo ni hapo bandarini chaji za TRA na bandari lazima zitasoma 4ml na laki chache ukijumlisha na hiyo bei tunarudi kulekule...anyway naomba chasis namba ya hiyo gari
Hakuna kitu kama hicho. Siku ingini ukiulizwa model ya hiyo gari sema "RAUM." Unawezaje kufanya biashara ya magari wakati hujui model ya gari ni kitu gani jamani? That's a 2007 Toyota Raum, that's year, make and model. Period.Model: CBA-NCZ20-AHPXK
Nashukuru hiyo ni model code, lakini si nimeisha eleza kwenye Tangazo pale juu.Hakuna kitu kama hicho. Siku ingini ukiulizwa model ya hiyo gari sema "RAUM." Unawezaje kufanya biashara ya magari wakati hujui model ya gari ni kitu gani jamani? That's a 2007 Toyota Raum, that's year, make and model. Period.
Naomba VIN yake tafadhali.
Mkuu hiyo mpaka bandarini, karibu sana.
Model: CBA-NCZ20-AHPXK
Engine: 1NZ-FE
Frame no: NCZ20-0115592
Color Trim Plant
3P0 FA40 N11
Trans./axle: U340E- 01A
hii ndoto yangu itatimia sijui mwaka gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Duuu.....bila kodi ya bongo. Si itafika 10M.
Kama CIF ni $4290 sasa unafuu uko wapi hapo? Kwa hela hiyo unanuna gari popote unapotaka. Cheap car should be less than $2000.