kama umechoka kutembea kwa miguu au kupanda daladala jipatie gari hii kwa million 3 tu, maelewano yapo piga namba 0713532322 kwa maelezo zaidi, niko dar es salaam
Inaweza kuwa gari nzuri, tatizo mvuto. Afu hivyo vitambaa kwenye dashboard na stearing wheel ungevitoa kabla ya kuifotoa ingekuwa poa sana, vinasababisha ndinga kuonekana chakavu zaidi ya ilivyo.
Njia Ile ninyembambaa iendayouzimanii....yaani hiyogaariii ikisikia hizo nyimbo inazima na hapo ndio mwishowake aiwakitena
mmmhahahaaaa! umenichekesha sana mkuu
Million 3?
hii gari ni ya zamani lakini ni nzima kabisa sihitaji kuitia urembo ili ionekane mpya na kumuuzia mtu mbuzi kwenye gunia