Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ni ya eteilKamera ya tecno t423.
Unamuambia simpo tu kamera iliungua na sijabadilishaaDuuh aibu pale mtu anakuazima apige pichaπ
Unamwambia kamera imeungua akidai picha mtuNi ya eteil
ππUnamwambia kamera imeungua akidai picha mtu
Naona discussion ya bmkopo imefungwa kule yaan ndo nazidi kuachia kicheko huku daahh πππππ
Mm mpka sm nimeweka chini nacheka kwazaNaona discussion ya bmkopo imefungwa kule yaan ndo nazidi kuachia kicheko huku daahh πππ
Mm mpka sm nimeweka chiniNaona discussion ya bmkopo imefungwa kule yaan ndo nazidi kuachia kicheko huku daahh πππ
Aibu mnooπ€£Unamuambia simpo tu kamera iliungua na sijabadilishaa
Najua ukimjibu ivo hawezi kuendelea kuomba tenaa labda kama ni wale akina tomasoAibu mnooπ€£
Hii ukinunua Ukija kuwasha unakuta ni tecno s1 πππAibu mnooπ€£
Tuachane na ayo jaman babe Tuma ata hio 13 unayotumiaNajua ukimjibu ivo hawezi kuendelea kuomba tenaa labda kama ni wale akina tomaso
Kuna mmoja anayo macho 2lkn camera ukunguHii ukinunua Ukija kuwasha unakuta ni tecno s1 πππ
Anhaa usijali kesho kutwa nakuagiziaa iphone 15 sawa eeh?Tuachane na ayo jaman babe Tuma ata hio 13 unayotumia
Daaah si anatangaza biashara au?? ππππSasa huyu dogo nae na iphone 15 fake anamatatizo gani?
But I want to see you now πAnhaa usijali kesho kutwa nakuagiziaa iphone 15 sawa eeh?
πSema kiongozi mda wote JF upitage telegram kunamaudambwiudabmwi nimetoka huko hapa mwepesi nilale