Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
weka bei
mawasiliano
location
mbona mnafanya biashara kisela sela sana duu wabongo sjui tupoje[/QUOTE
Angalia mkuu vyote vipoweka bei
mawasiliano
location
mbona mnafanya biashara kisela sela sana duu wabongo sjui tupoje
Nimeshaweka mkuuIlifaa JF hili jukwaa wangeweka conditions... Huwezi kuweka thread bila picha wala bei.... Maana ile sticky thread haitoshi
Jezi mpya original za timu zote zinapatikana kwa bei nafuu, unapata tshirt na bukta yake kwa gharama iyo iyo, Jezi ya Simba, Yanga, Manchester United, Liverpool, Juventus, Chelsea, Arsenal , Barcelona , Real Madrid ,Tottenham Hotspurs, Manchester city na timu nyingine zote kubwa
Bei: 18,000/=
Simu: 0656190449
Mahali: Kijitonyama
#SKMJERSEYS
Bei ya vyote tshirt na bukta, nauza kwa pamojahiyo ni bei ya tishet tu au vyote, na jee ukitaka tisheti ni bei gani, ni vizuri ukiweka na picha isje ikawa jezi za kariakoo
bukta ni offer ya kununua tshirtbukta ya nini mkuu?
watu tunataka t shirt tu
Jezi mpya original za timu zote zinapatikana kwa bei nafuu, unapata tshirt na bukta yake kwa gharama iyo iyo, Jezi ya Simba, Yanga, Manchester United, Liverpool, Juventus, Chelsea, Arsenal , Barcelona , Real Madrid ,Tottenham Hotspurs, Manchester city na timu nyingine zote kubwa
Bei: 18,000/=
Simu: 0656190449
Mahali: Kijitonyama
#SKMJERSEYS
Mimi nataka jezi ya man utd ile yenye nembo ya SHARP!! wakongwe wanaijua!!! Naweza ipata?Jezi mpya original za timu zote zinapatikana kwa bei nafuu, unapata tshirt na bukta yake kwa gharama iyo iyo, Jezi ya Simba, Yanga, Manchester United, Liverpool, Juventus, Chelsea, Arsenal , Barcelona , Real Madrid ,Tottenham Hotspurs, Manchester city na timu nyingine zote kubwa
Bei: 18,000/=
Simu: 0656190449
Mahali: Kijitonyama
#SKMJERSEYS
Jezi original elfu 18 nmecheka sanaaa dahJezi mpya original za timu zote zinapatikana kwa bei nafuu, unapata tshirt na bukta yake kwa gharama iyo iyo, Jezi ya Simba, Yanga, Manchester United, Liverpool, Juventus, Chelsea, Arsenal , Barcelona , Real Madrid ,Tottenham Hotspurs, Manchester city na timu nyingine zote kubwa
Bei: 18,000/=
Simu: 0656190449
Mahali: Kijitonyama
#SKMJERSEYS
Mi nataka ya basket LAKERSJezi mpya original za timu zote zinapatikana kwa bei nafuu, unapata tshirt na bukta yake kwa gharama iyo iyo, Jezi ya Simba, Yanga, Manchester United, Liverpool, Juventus, Chelsea, Arsenal , Barcelona , Real Madrid ,Tottenham Hotspurs, Manchester city na timu nyingine zote kubwa
Bei: 18,000/=
Simu: 0656190449
Mahali: Kijitonyama
#SKMJERSEYS