Jipatie jezi mpya orijino ya timu uipendayo

Mi nataka jezi ya Nigeria ile ya kijani waliyotumia kwenye world cup mwaka jana,namba 7(musa) naweza kuipata?
Je, mikoani unatuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo bukta sitaki hata kuzisikia nilipiga mbizi,mm nmeibuka huku bukta imebaki kule
 
Sambazeni hadi mikoa yote na kanda ya ziwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Origino kwa sh 18,000??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji ya Tot na man city niko Moro!naweza pata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…