INAUZWA Jipatie kisimbuzi cha Startimes cha dish kwa 79,000/= tu

INAUZWA Jipatie kisimbuzi cha Startimes cha dish kwa 79,000/= tu

jaxonjaxon

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
217
Reaction score
136
Karibu upate Kisimbuzi (decoder) Cha Startimes Cha dish kwa 79,000 tu.
Unapata mwezi mmoja bure. Kifurushi kikiisha bado utaendelea kutazama channel zote za nyumbani bure. Ukilipia
Utafurahia tamthilia nyingi na movies mbalimbali.

Pia mpira ligi ya hispania, Italy, ujerumani, Europa league na Uefa Euro match zote.

Kwa watoto Kuna katuni nyingi za kiingereza na kiswahili.

Kwa wenye baa au mabanda ya Tv unapata offer miezi miwili bure.

Jiunge na
Startimes.

Kwa anaetaka tufanye biashara anicheck, commission ipo
Screenshot_20210314-175252.jpg
IMG-20210313-WA0010.jpg
IMG-20210313-WA0001.jpg
IMG-20210313-WA0011.jpg
 
Karibu upate King'amuzi (decoder) Cha Startimes Cha dish kwa 79,000 tu.
Unapata mwezi mmoja bure. Kifurushi kikiisha bado utaendelea kutazama channel zote za nyumbani bure. Ukilipia
Utafurahia tamthilia nyingi na movies mbalimbali.

Pia mpira ligi ya hispania, Italy, ujerumani, Europa league na Uefa Euro match zote.

Kwa watoto Kuna katuni nyingi za kiingereza na kiswahili.

Kwa wenye baa au mabanda ya Tv unapata offer miezi miwili bure.

Jiunge na
Startimes.

Kwa anaetaka tufanye biashara anicheck, commission ipoView attachment 1726898View attachment 1726902View attachment 1726903View attachment 1726904
Hakiitwi King'amuzi kinaitwa KISIMBUZI. King'amuzi ni kama mashine ya kukagulia vyuma au ile mashine ya kubaini uwepo wa chuma/madini ardhini. Kwa hiyo rekebisha sema Kisimbuzi na sio King'amuzi.

Neno msingi la King'amuzi ni Ng'amua hicho cha kwako haking'amui kinafanya kazi tofauti ambayo ni kudikodi ambako ni kubadili (convert) mawimbi katika hali fulani kwenda hali fulani. Kiswahili lugha ya taifa letu Tanzania. Kiswahili kimezaliwa Tanzania.
 
startimes kumbe wanajitahidi..wana la liga,bundesliga,seria a,europa league?..azam akaze
 
Back
Top Bottom