Kiwanja kinauzwa eneo la mbweni beach,karibu na kwa Halima Mdee panaitwa njia panda ulaya,ukubwa nusu heka bei 11 milioni bei inazungumzika usiogope,hakijapimwa kina hati ya kijiji tu.piga 0717567879
Vipi mkuu bado kipo? Bei inashuka kidogo?
vijiji vipo mkuu,Hapa Dar kuna kijiji?
kijiji cha makumbushoHapa Dar kuna kijiji?
Njia panda ulaya ni kwenye kambi ya usalama au ni wapi?Kiwanja kinauzwa eneo la mbweni beach,karibu na kwa Halima Mdee panaitwa njia panda ulaya,ukubwa nusu heka bei 11 milioni bei inazungumzika usiogope,hakijapimwa kina hati ya kijiji tu.piga 0717567879