Dalali Dar es Salaam
Member
- Apr 2, 2019
- 16
- 17
Weka pichaVIWANJA VINAUZWA KIBAHA(KWA MFIPA) 20×20sqm BEI NI TSH.800,000/= TU.
~VIWANJA NI VIZURI SANA KWA MAKAZI
~HUDUMA ZOTE ZIPO IKIWA NI PAMOJA NA BARABARA.
~VIPO KM 2.5 TOKA BARABARA KUU YA DAR-MORO.
NB; KESHO NITAKUWEPO NA WATEJA SITE,
MTEJA MPYA UNAKARIBISHWA KUJA KUONA MAZINGIRA NA VIWANJA HUSIKA KABLA YA KUNUNUA.
Miliki Ardhi yako sasa,biashara chapchap
Kwa biashara tu na si maneno tupu,
PIGA:0654269099
Karibuni Kibaha(Mfipa).
GEZUZ.
20x20 kwa 800,000 TSHs anamaanisha 1sqm ni TSHs 2,000! HAPA KUNA KITU!Mmmmhhh laki 8??
20x20 kwa 800,000 TSHs anamaanisha 1sqm ni TSHs 2,000! HAPA KUNA KITU!
Hivyo viwanja vina document gani? Je ramani imeshapitishwa na halmashauri ya Kibaha?VIWANJA VINAUZWA KIBAHA(KWA MFIPA) 20×20sqm BEI NI TSH.800,000/= TU.
~VIWANJA NI VIZURI SANA KWA MAKAZI
~HUDUMA ZOTE ZIPO IKIWA NI PAMOJA NA BARABARA.
~VIPO KM 2.5 TOKA BARABARA KUU YA DAR-MORO.
NB; KESHO NITAKUWEPO NA WATEJA SITE,
MTEJA MPYA UNAKARIBISHWA KUJA KUONA MAZINGIRA NA VIWANJA HUSIKA KABLA YA KUNUNUA.
Miliki Ardhi yako sasa,biashara chapchap
Kwa biashara tu na si maneno tupu,
PIGA:0654269099
Karibuni Kibaha(Mfipa).
GEZUZ.
Ikumbukwe urasilimishaji Ardhi haujafanyika sehemu kubwa ya nchi hivyo Ardhi kubwa inayomilikiwa na watu ni kwa idhini ya Halmashauri kupitia serikali za mitaa(nirekebishwe ikibidi)Hivyo viwanja vina document gani? Je ramani imeshapitishwa na halmashauri ya Kibaha?
Kuna watu wanajifanya hawajui kuwa thamani ya Ardhi hupanda na kushuka kutegemeana na mazingira na hali ya wakati husikaKuna mpaka vya 60,000/= we kama.wataka chaa 20m vipo pia, ingawa hata vya 20m vilianza na pori mtu kufyeka naa.kumiliki bure...usijidai unashangaa ujinga hapa.
Unashangaa Ardhi kuuzwa laki 8? Kweli wabongo hamna jemaMmmmhhh laki 8??
Weka picha
Kisheria serikali ya mtaa haitambuliki kwenye mauziano ya ardhi.Ikumbukwe urasilimishaji Ardhi haujafanyika sehemu kubwa ya nchi hivyo Ardhi kubwa inayomilikiwa na watu ni kwa idhini ya Halmashauri kupitia serikali za mitaa(nirekebishwe ikibidi)
.
.
Documents zilizopo ni za serikali ya mtaa wa Galagaza.
HATA HIVYO VYA BEI HIYO VIMEISHA VIMEBAKI VYA 2M.
GEZUZ.
Nimeshangaa sana mkuu wala siyo siri maana sijawahi kusikia hasahasa eneo ambalo ni 2km away from the main road kama Morogoro road maana vya kiluvya tu ambavyo vipo 8 km vinauzwa 1.5 kuna mdau naye alileta uzi huoUnashangaa Ardhi kuuzwa laki 8? Kweli wabongo hamna jema
GEZUZ.
Sheria ipi hiyo inayokataa hilo ili hali zoezi la urasimishaji ardhi wao ndiyo wanafanya?Kisheria serikali ya mtaa haitambuliki kwenye mauziano ya ardhi.
Hawa ndio wanaoingia kichwa kichwa, laki nane kwa kibaha ni bei ya kawaida sana, mzee wangu alinunua heka pale kwa Mathias kwa laki moja mwaka 2008Kuna mpaka vya 60,000/= we kama.wataka chaa 20m vipo pia, ingawa hata vya 20m vilianza na pori mtu kufyeka naa.kumiliki bure...usijidai unashangaa ujinga hapa.
Kisheria serikali ya mtaa haitambuliki kwenye mauziano ya ardhi.
Hawa ndio wanaoingia kichwa kichwa, laki nane kwa kibaha ni bei ya kawaida sana, mzee wangu alinunua heka pale kwa Mathias kwa laki moja mwaka 2008
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria za Tanzania, serikali ya mtaa haitambuliki kutowa document yoyote ya mauziano ya ardhi, wao jukumu lai ni kuthibitisha tu kama muuzaji ndiye mmiliki na kuverify mipaka. Asikudanganye mtu katika hili hakuna mahakama yoyote ya Tanzania inayoweza kupokea document ya serikali ya mtaa kuthibitisha umiliki wako hakuna.HUnazungumzia sheria za nchi gani sijui,si hapa nchini kwetu Tanzania
GEZUZ.
Wao ndio wanaotowa hati ya hizo ardhi zilizorasimishwa?Sheria ipi hiyo inayokataa hilo ili hali zoezi la urasimishaji ardhi wao ndiyo wanafanya?