Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

Tupe kifungu cha sheria kinachokataza au kuweka sharti hilo ku-support hoja yako.
.
.
Watanzania wengi huku mikoani tunamiliki Ardhi kwa mifumo hii hata serikali kuu inalijua hilo na ndo maana inakuja kuturasimisha ili kuondoa migogoro ya Ardhi

GEZUZ.
 
Elewa ninachokiandika, mambo ya mikoani sijafuatilia, ila serikali ya mtaa haitambuliki kama uko makini unatakiwa kutumia wakili ndio anatambulika, sijui kuhusu serikali ya vijiji na vitongoji kama wanaruhusiwa ila serikali ya mtaa hawaruhusiwi na hawatambuliki absolutely no.
 
ukweli ni huu.... Kibaha nzima mpk Misugusugu hakuna plot ilopimwa 2.5 km from Morogoro Rd upate 400 sqm kwa TSHs 800,000! Labda kama anavutia biashara tu! Hizo bei ni historia! Ni sawa Nikuambie mwaka 1961 Kariakoo plots ziliuzwa mpk TSHs 180!
 
Kalaga baho!!!
ukweli ni huu.... Kibaha nzima mpk Misugusugu hakuna plot ilopimwa 2.5 km from Morogoro Rd upate 400 sqm kwa TSHs 800,000! Labda kama anavutia biashara tu! Hizo bei ni historia! Ni sawa Nikuambie mwaka 1961 Kariakoo plots ziliuzwa mpk TSHs 180!

GEZUZ.
 
Wao ndio wanaotowa hati ya hizo ardhi zilizorasimishwa?
Hata kama hatoi lkn ana act kama wakala wa kwa maana nyingine ni mamlaka inayotambulika sasa wanashindwaje kuact kama wasimamizi wa mauziano kama wamepewa uwezo pia wa kusimamia urasimishaji ardhi?

By the way ardhi hata nyumba nyingi mauziano yake kwa asilimia kubwa yamesimamiwa na yanaendelea kusimamia na serikali za mitaa
 
Huu ndio ujinga wa Watanzania wengi kwamba jambo likifanywa na watu wengi kwa muda mrefu ni sahihi?

Serikali ya mtaa wamejipachika humo ili kupata asilimia za mauziano wagawane wale ila siku mgogoro wako ukifika mahakamani utaikumbuka JF na maandishi haya pale hakimu atakapowakana mashahidi wako serikali ya mtaa na kukubali document ya mwenzako ya legal paper na muhuri wa wakili. Ukae ukijuwa wakili ni kamishna wa viapo pia.
 


Na serekali ya kijiji kwa upande wa vijijini hati zao zinakuwaga na uhalali ,maana mjini ndo kuna mitaa:

Naomba unifahamishe hapo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…