Plot4Sale Jipatie kiwanja kwa CHIKIRA njia ya CHANIKA karibu na SHERATONI kituo cha mafuta

Plot4Sale Jipatie kiwanja kwa CHIKIRA njia ya CHANIKA karibu na SHERATONI kituo cha mafuta

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
kiwanja eneo la kwa chikira
Ukubwa wa sqm 1,000 sawa na mita 20 upana na mita 50 urefu.
Eneo bado halijapimwa
unaweza kuligawa likatoa viwanja viwili vikubwa
Bei ni 12,800,000/=
umbali wa kutembea dakika 10 kufika kituo cha basi
Eneo hili maji yanapatikana kirahisi
ikiwa utapenda kukiona tuwasiliane 0713683422
 
Mi nna changu nakiuza mi 7 tu Chamazi na mteja kumpata ni mbinde
 
Kweli naona kama kaanzia juu sana hivi
Ni kweli kiwanja hiki kiko juu
sio kila mtu anaweza kununua
ukikigawa mara mbili vinatoka viwanja viwili vikubwa
kiko mahali pazuri sana
kina ukubwa wa kutosha
 
Mi nna changu nakiuza mi 7 tu Chamazi na mteja kumpata ni mbinde
pole sana ndugu
najua wapo wanaopenda vitu vizuri ambao kwao gharama sio tatizo
kingepungua bei kama ningekigawa mara mbili lakini najua wapo wanaotaka vikubwa vyenye nafasi ya kutosha
 
Utamuuzia nani Chanika kwa m12 wewe? Acha kuota...
kaka wapo watu wanahitaji vitu vizuri na sio kwa kujadili hapa mtandaoni huwa wanafika kuona
hiki ndio kiwanja cha bei rahisi nilichonacho ikiwa hatakipenda nina kingine kigamboni kinakwenda kwa 70m pale kizota sqm 1,302 kina hati na kiko karibu na barabara
 
Back
Top Bottom