Jipatie kuku wa kienyeji mbegu bora kwa bei nafuu

Jipatie kuku wa kienyeji mbegu bora kwa bei nafuu

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,486
Reaction score
51,156
Nauza kuku wa kienyeji wenye umri tofauti tofauti.

Kwa mahitaji ya kula na kufuga/mayai.

Bei ni kuanzia 9000 mpaka 15000.

Karibuni wote.

Tuwasiliane kupitia Pm
 
Weka mambo hapa hadharani, ikifika mawasiliano yanahitajika ndipo watu watumie PM. Sasa hata bei tuende kwenye PM?
 
Kwa sababu zilizopo nje ya uwezo wangu nashindwa kuweka namba yangu hadharani,ila kama wahitaji serious unaweza ukaniPm tukifika muafaka nakupatia namba ya simu,
Weka namba ya simu tuwasiliane
 
Nauza kuku wa kienyeji wenye umri tofauti tofauti,
kwa mahitaji ya kula na kufuga/mayai,
karibuni wote.
Tuwasiliane kupitia Pm

Mimi nahitaji kuku wa huko Singida ili nianze kuwafuga. Nikipata mitetea 10 na jogoo mmoja watanitosha kwa kuanzia. Hebu niangalizie kama nitapata.
 
Nipo singida ila kwa waliopo mikoa pwani kanda ya kati na kaskazini mwa Tanzania naweza kuwasafirishia.
We mdada kumbe Singida! Hao kuku wa Singida nawahitaji sana kwa ajili ya kuanza kufuga! Nitakutafuta muda mwafaka ukifika!
 
Mimi nahitaji kuku wa huko Singida ili nianze kuwafuga. Nikipata mitetea 10 na jogoo mmoja watanitosha kwa kuanzia. Hebu niangalizie kama nitapata.
nilishakuuzia ama bado kama bado please njoo PM wikolo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom