sukariyawarembo
Senior Member
- Aug 2, 2019
- 169
- 119
Niko mitaa ya buluba sekondari naweza kupata kuku wangapi at once?kwa mahitaji ya kuku wa kienyeji wenye afya wanapatikana kea bei nafuu kuanzia 10000 hadi 15000.
Tupo shinyanga mjini.
Wateja wa shy town tunawaletea popote mlipo(iwe hapohapo mjini na maeneo ya karibu.
tutafute kwa namba 0766063338.
Karibuni.
Niko mitaa ya buluba sekondari naweza kupata kuku wangapi at once?
iombe namba πππ
Kila la kheri mkuu, ndio fursa zenyewe hizo za kupambana na maisha na namna nyingine ya kulijenga taifa letu changakwa mahitaji ya kuku wa kienyeji wenye afya nzuru kwa ajiri ya nyama au kufuga wanapatikana kwa bei nafuu kuanzia 10000 hadi 15000.
Tupo shinyanga mjini.
Wateja wa shy town tunawaletea popote mlipo(iwe hapohapo mjini na maeneo ya karibu.
tutafute kwa namba 0766063338.
0622286122
Kila la kheri mkuu, ndio fursa zenyewe hizo za kupambana na maisha na namna nyingine ya kulijenga taifa letu changa
Bahati mbaya Shinyanga ni mbaali sana kutoka Dar ninapoishi vinginevyo ningekuungisha mkuu
Mbona wamekonda hivyo huwapi chakula nini?
Au hao waliokonda ndiyo elfu 10?
Huyo anakutaka upost pichae wewe!Sijapost picha yoyote mimi