Jipatie laptop mpya na used,pia simu za brackbery

Kweli biashara ngumu, sasa tukupigie ili iweje?
Weka mali hapa na specs zake na bei, na picha moja hivi ya kuvutia then wanunuzi tushawishike tukupigie simu baada ya kuona bidhaa.
Mbona mnafanya biashara ki-local namna hii?
 
MAmbo ya kizamani acha mkuu!!

Weka kila kitu hapa, ili kuchuja wanunuzi. Weka picha za bidhaa zako, specs, ect Haya mambo ya kupokea simu elfu moja halanu wananunua wanne!! Ni uzamani...
 
Biashara sio ya Manzese

Weka all specs na utuambie hizo simu mpya za brackbery nchi gani inazitengeneza
 
inawezekana bidhaa zako zinatoka kwa hao jamaa wa macho madogo ndo maana hutaki kuweka hata spcs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…