Jipatie Logo au Label + Ofa ya bure ya design za letterhead, biz Card & invoices

Mkuu ntakutafuta mwisho wa mwezi unitengenezee logo fulani?
 
Kazi nzuri sana mkuu, inatamanisha sana
 
Bei zako zikoje? Logo ya kawaida tu. Najua utasema nije PM lakini nataka nipate general ideas ya bei zako....
 
Jamaa namkubali sana. Alinifanyia kazi nzuri sana.
Napenda kazi zako na.customer care yako brother.
I will promote you everywhere i go.
 
Habari mkuu LOGORIDDIM, nimepitia page yako instagrama kuona kama kuna kaz zako kule nimeona hamna.. Nakushauri weka kazi zako kule watu wajionee na wapate kukujua zaidi, binafsi nahitaji msaada wa ubunifu ndo maana nikaenda kukutafta kule nikakuta haupo ndo nikaja huku. Nahitaji logo mkuu, japo bajet yangu ni hafifu sana ila nafsi yangu inanishawishi nizungumze nawe maana naaamin katika ubora wako.

Nimejarbu kukutumia hii Kama pm naona inagoma, imenibidi tu nifute namba ya simu na kuweka hapa kama post. Ntashukuru kwa mrejesho wako
 
Ofa bado zinaendelea. Karibuni sn tuyajenge
 
Mi nqhitaji lebo ya unga wa Dona, lishe, sembe pumba ila itumie lebo moja mfano engibaba investments hiyo lebo moja hutambulisha bidhaa zangu zote
Inawezekana mkuu. Tuwasiliane zaidi 0688999006 (calls, sms & whatsapp)
 
Jipatie bure design za
1. Letterhead 2. Proforma Invoice 3. Tax Invoice 4. Delivery Note 5. Payment Receipt 6. Business Card
Kwa kila kazi moja ya "kudesign" logo au label nitakayokufanyia.

Tafadhali wasiliana nami kupitia mawasiliano yafuatayo Ili nikuonyeshe baadhi ya kazi zangu.

0688999006 (WhatsApp, Telegram, calls & sms)
Email: logoriddim@gmail.com

LOGORIDDIM. Gifted by The Almighty. Trusted by Humans.

Karibu sana tuyajenge.
 
Templates zifuatazo utazipata zikiwa ktk format ya MS Word zikiwa tayari kwa matumizi moja kwa moja kutoka ktk computer yako.
1. Letterhead 2. Proforma Invoice 3. Tax Invoice 4. Delivery Note 5. Payment Receipt
 
Tafadhali wasiliana nami ili niweze kukuonyesha baadhi ya kazi zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…