Jipatie logo ( nembo ) kwa bei nafuu

Jipatie logo ( nembo ) kwa bei nafuu

echuma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Posts
311
Reaction score
80
Karibu Legacy Impresion Company ujipatie logo ( nembo) kwa bei nafuu kabisa na haraka, kuna nembo ambazo tayari zimesha dizainiwa za aina tofauti tofauti, kulingana na tofauti za biashara unachotakiwa ni kuchagua na kuchukua kuifanya yako, bei zetu ni nafuu kabisa kila Logo ina thamani ya Tshs 50,000/= karibu sana kwa mawasiliano 0713 603 699 au tuma PM ntakujibu A.S.A.P
pia unaweza kupata baadhi ya kazi ambazo tumeshazifanya kupitia Legacy Impresion
 
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hiyo hapo mkuu ni Fixed ila inalegea iwapo utachukua zaidi ya moja mfano kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo wanaohitaji kuwa na sticker kwenye bidhaa zao hawa wanahitaji logo mbili moja ya kampuni inayohodhi bidhaa na nyingine inayoitambulisha bidhaa.

Karibu sana Mkuu
 
Jipatie sasa logo na bz card kwa bei ya kutupwa, karibuni

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mimi nataka unifundishe ku-design logo, muda wng ni Jmosi na Jpili! nipe gharama zako!
 
Karibuni bado huduma inaendelea
 
Back
Top Bottom