Hiyo hapo mkuu ni Fixed ila inalegea iwapo utachukua zaidi ya moja mfano kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo wanaohitaji kuwa na sticker kwenye bidhaa zao hawa wanahitaji logo mbili moja ya kampuni inayohodhi bidhaa na nyingine inayoitambulisha bidhaa.
Karibu sana Mkuu