Jipatie bidhaa mpya mabegi ya mgongoni na vifaa vyote vya stationery kwa bei ya jumla na rejareja
LAPTOP SLEEVE-hili ni ambalo lina sehemu ya kuhifadhia laptop yako,utapata head phone & USB charger
Bei ya jumla
1-11 bei yake ni 20,000
12-99 bei yake ni 18,000
100... bei yake ni 15,000
Bei ya rejareja 35,000-40,000
Bei ya bila Headphone na USB charger
1-11 bei yake ni 15,000
12-99 bei yake ni 10,000
100... bei yake ni 8,000
Bei ya rejareja ni 25,000-35,000
Karibu mkuu,,
Hii ni maalum pia kwa Siku za usoni wengine waweze kupost pia kuna watu wanatoa huduma za stationery hivyo siyo mbaya tukashare si lazima nipost mimi peke yangu..