INAUZWA Jipatie mashine za kukimbia (TREADMILL) kwa gharama nafuu

hatym

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
513
Reaction score
178
Unagonja nini?
Wahi sasa ujipatie mashine hizi kwa gharama nafuu kabisa zikiwa ni mpya kabisa.
Hitup motorized treadmilll with no incline
User maximum weight 11,000
Tsh 1,400,000
Maximum speed 12km/hour

Kizuri kuhusu sisi,tunakuletea mpaka ulipo kwa dar es salaam bila gharama
Na tunakufungia bure


Hit up treadmill with incline
Hii inajinyanyua na kutengeneza slope ya 15degrees
Inabeba mpaka mtu mwenye uzito wa kg 130
12km/hour
Tsh 1,700,000
Free delivery kwa dar es salaam
Free assembly
Wasiliana nasi
0758728258
0718327776
Email;info@fitnessempire.co.tz
Www.fitnessempire.co.tz
Au tufollow katika account yetu ya instagram @vifaa_vya_mazoezi kuweza kuona vifaa vingi zaidi na namna vinavyotumika
 
Hivi consumption yake ya umeme ikoje mkuu?
 
Bidhaa mpya
Six pack care
Mashine ambayo ni mult functional utafanya mazoezi ya mwili mzima kupitia kifaa hiki ukiwa nyumbani
Kwasasa vipo kwenye promotion kutoka 350,000 mpaka 300,000
Wasiliana nasi
0758728258
0718327776
Kwa dsm delivery ni bure

 
Mzigo mpya umefika,ni mashine mpya za kukimbilia,zinazojumuisha massage,dumbell mbili ,sit up lock pamoja na waist twisting disc
Usisahau kuwa mashine hizi ni incline zinajinyanyua na kutengeneza mwinuko,pia zina speaker wakati unafanya mazoez zinakuburufisha na mziki,
Horse power ni 3HP
Speed up to 14km/h
Inabeba mwisho mtu wa uzito kg 120
Mashine zote ni mpya zinafumuliwa kwenye boksi lake mbele yako
Bei ni 1,700,000
Delivery ni bure kwa wakazi wa dsm
Mikoani tunatuma pia
Wasiliana nasi
0758728258
0718327776
Info@fitnessempire.co.tz
www.fitnessempire.co.tz

 
New arrival
Classic Treadmill kubwa yenye uwezo mkubwa kiutendaji
Nafasi kubwa ya kukimbilia
Speed mpaka 18km/hour
Utapata na dumbell 2kg set
Chupa ya maji
Delivery ni bure kwa dsm
Mikoani tunatuma pia
Malipo ni baada ya delivery kwa wakazi wa dsm
Assembly ni bure pia
Price 1,900,000
0758728258
Unaweza kuitizama vizuri hap chini


Unaweza kutufollow instagram kupitia link hii
Fitnessempire_tz (@vifaa_vya_mazoezi) • Instagram photos and videos
 
Kuna sehemu huko jumia wanauza from laki 2 mpaka laki 2 na40 za bei hiyo zina tofauti gani na hizi ?
 
Kuna sehemu huko jumia wanauza from laki 2 mpaka laki 2 na40 za bei hiyo zina tofauti gani na hizi ?
Angalia vizuri mkuu,hakuna mashine ya kukimbilia inayotumia umeme unaweza kununua mpya kwa laki mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…