Jipatie mayai ya kuku wa kisasa kwa bei powaa kabisa

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
25
Habari za Leo wadau na wajasiriamali wenzangu,

Nauza mayai ya kisasa,tray TZS 6500.Kwa yeyote anayetaka tunaweza kuongea na kukubaliana bei nzuri zaidi,Nina uwezo wa kukupa au kukuletea ulipo order yako kulingana na trays utakazo chukua.
Unaweza kuwasiliana na mimi kwenye number 0719164301 or 0717332652.

Pia ndugu zangu mnaweza kunielekea hotel and bar ambazo naweza uzia mayai yangu kwa wingi.

Shukrani.
 
Unapatikana wapi???na. Hyo 6500ni bei ya Jumla,,au Rejareja.
 
Back
Top Bottom