Jipatie mbao bora kwa bei nafuu

Disposal

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
285
Reaction score
78
Kwa wenye mahitaji ya mbao aina zote mnakaribishwa treated na sypras kwa bei nzuri toka mafinga bei ya cubic meter iko chini sana ukilinganisha na ukiuziwa hapa mjini njoo tufanye biashara Pamoja
 
Unapatikana wapi?
 
Mawasialiano yako?
 
Unapatikana wapi?

Tupo mbez mwisho Daresalaam njoo kuona sampo za mbao ukiridhika tunakufanyia logistics unapata kwa bei nafuu kabisa mawasiliano 0752006218
 
Aaa, unauzaje? 3"kwa4", 2"kwa 4", 2"kwa2" na 3"kwa3" hizi ni mbao za kench, sema bei kwa pc unaweza nishawishi nikutafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…