BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 212
- 250
Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja.
Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na kuwa mstahimilivu, pia wana sifa ya kukuwa haraka mara mbili zaidi ya sato.
Unaweza kuboreshe mazingira ya nyumbani au shambani kwako kwa kuanzisha kibwawa kidogo. Baada ya miezi kadhaa (6-9) utaweza kujipatia kitoweo cha uhakika na kuongeza kipato chako
Faida za kununua vifaranga kutoka kwetu:
Tunapatikana Dar es Salaam - Bunju B.
Kwa maelezo zaidi na mawasiliano, tafadhali piga simu au tembelea shambani kwetu
Call/WhatsApp: 0758-779-170

- Utapata uhakika wa mbegu bora ya Kambale
- Bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga badala ya Tsh 500
- Huduma ya ushauri bure kuanzia mwanzo hadi siku ya mavuno
- Packaging na usafirishaji mzigo hadi Mkoa wowote ulipo