INAUZWA Jipatie Mitambo ya ulinzi ya kisasa

INAUZWA Jipatie Mitambo ya ulinzi ya kisasa

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Tunauza na kufunga mitambo ya ulinzi na usalama ya kisasa na yenye standard za ubora wa kimataifa kama British Security Industry Association.

Mitambo yetu ni full automatic yani ukiwashwa wenyewe unatambua pindi mtu anapovunja mlango au kuingia ndani bila ridhaa yako.

Bei ni nzuri na zinatofautiana kulingana na idadi ya vyumba na ukubwa wake. (Unaweza kulipa mara mbili - advance na baada ya installation)
Ni nzuri kwa majumbani, ofisi na maeneo ya biashara kama shoppingmalls, supermarkets na Warehouses.

Wengi wanapata hasara kutokana na wizi huku wakizidi kuibiwa kutokana na kuwekeza kwa ulinzi wa wanadamu ili hali wanadamu hatuaminiki, jionee tofauti kwa kuwekeza kwenye ulinzi wa teknolojia.

Kwa maelezo zaidi piga +255743171049
Screenshot_2018-12-11-11-10-27.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mbona ghali sana,mitambo hio unasema ni 4.7mil?

Gharama sana.
 
Kuna sehemu nilienda getini hamna mlinzi unabonyeza kinapiga simu direct mnaongea tena kwa video call wanafungua geti automatic
Ningependa kujua hicho kifaa na bei yake
Brand ilikuwa HK vision

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom