Wapi nimesema bei boss kwa majumbani zinaanzia 1.1M za kitanzania.Aisee mbona ghali sana,mitambo hio unasema ni 4.7mil?
Gharama sana.
Kwa hio ulitaka tukuombe uweke bei sio mkuu?Wapi nimesema bei boss kwa majumbani zinaanzia 1.1M za kitanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiuliza unajibiwa tuKwa hio ulitaka tukuombe uweke bei sio mkuu?
Masharti ya kuweka tangazo hapa jf uliyasoma na kuyaelewa vzr boss?
Ni videocom nipe mawasiliano yako pm nikutafuteKuna sehemu nilienda getini hamna mlinzi unabonyeza kinapiga simu direct mnaongea tena kwa video call wanafungua geti automatic
Ningependa kujua hicho kifaa na bei yake
Brand ilikuwa HK vision
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ni tofauti kama nilivyoeleza hapo juu.. Hakuna one standard price.. Itategemea na bidhaa ukubwa, number ya sensors e.t. cMasharti ya kuweka tangazo hapa jf uliyasoma na kuyaelewa vzr boss?