Jipatie mkaa mzuri gunia 70,000 mpaka ulipo nauleta

Jipatie mkaa mzuri gunia 70,000 mpaka ulipo nauleta

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Habari wakuu, ninao mkaa mzuri sio mabua gunia lenye ujazo mzuri,bei Kama utaubeba mwenyewe toka maeneo ya kigogo gunia ni elfu 65/kama utahitaji nikuletee ndani ya dar gharama ni elfu 70.tafadhali nicheki 0719848528 tufanye biashara
 
Duh huku gunia 22k tunaona ghali
Kuna sehemu morogoro katikati ya morogoro na dodoma niliona mkaa nikauziwa 15,000/= gunia aisee hadi niliona majabu makubwa sikuamini kabisaaa kumbe ndio bei za eneo hilo .
 
Kuna sehemu morogoro katikati ya morogoro na dodoma niliona mkaa nikauziwa 15,000/= gunia aisee hadi niliona majabu makubwa sikuamini kabisaaa kumbe ndio bei za eneo hilo .
Ni kutokana na eneo jamani niko lindi Nachingwea ,mkaa hua ni almost shilingi elfu 10 k ( kumi elfutu).
 
Back
Top Bottom