SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Kuna sehemu morogoro katikati ya morogoro na dodoma niliona mkaa nikauziwa 15,000/= gunia aisee hadi niliona majabu makubwa sikuamini kabisaaa kumbe ndio bei za eneo hilo .Duh huku gunia 22k tunaona ghali
Ni kutokana na eneo jamani niko lindi Nachingwea ,mkaa hua ni almost shilingi elfu 10 k ( kumi elfutu).Kuna sehemu morogoro katikati ya morogoro na dodoma niliona mkaa nikauziwa 15,000/= gunia aisee hadi niliona majabu makubwa sikuamini kabisaaa kumbe ndio bei za eneo hilo .
Zumbe wi Handeni kwakuhi?Na hapo imepanda