INAUZWA Jipatie modem ya Airtel kwa elfu 20,000/= ufurahie internet ya kasi zaidi

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Jipatie modem hii kwa bei ya 20,000/= ufurahie internet yenye kasi ya 4G kutoka Airtel huku ukifurahia Facebook ya bure. Kwanini uangaike na internet zisizoeleweka?! Nichek sasa kupitia 0716107367, Napatikana Dar es salaam

IMG_20171211_083237.jpg
IMG_20171211_083249.jpg
 
Nahitaji WiFi ndongle ya airtel kama unayo
 
Kasi gani kutoka airtel? Naichukia sana hii kampuni...network kama konokono...
 
Unapatikana mkoa gani? Alafu Airtel ndiyo imesambaa karibia nchi nzima, kwaiyo ukiwa na modem yake inakuhakikishia upatikanaji wa internet popote ulipo. Uwe Majita, Simiyu, Mangaka, Tandaimba, Tunduru, kote huko katavi, kigoma full kujiachia
 
Wanayo, sema hawajitangazi maana wanauzika
 
Jipatie modem hii kwa bei ya 20,000/= ufurahie internet yenye kasi ya 4G kutoka Airtel huku ukifurahia Facebook ya bure. Kwanini uangaike na internet zisizoeleweka?! Nichek sasa kupitia 0716107367, Napatikana Dar es salaam

View attachment 656087 View attachment 656089
Tulishatoka kwenye kutumia modem sticks for Internet connectivity....

With smartphone ni wifi tu...unatumia smartphone Internet kwenye laptop au simu kwa simu etc.....
 
Nina HSPDA universal modem mpya kwenye package yake sh30000 haijawahi kutumika
 
Tulishatoka kwenye kutumia modem sticks for Internet connectivity....

With smartphone ni wifi tu...unatumia smartphone Internet kwenye laptop au simu kwa simu etc.....
Wengine bado tunatumia modem kwa internet ya uhakika zaidi. Kuna muda smartphone inazingua, lakini ukiwa na modem unajihakikishia internet. Nakushauri jipatie sasa modem safi kabisa hii
 
Good luck....
Sijawahi kuzinguliwa with my phone's Internet....sina sababu ya kurudi kwenye hiyo analogy....
 
Unapatikana mkoa gani? Alafu Airtel ndiyo imesambaa karibia nchi nzima, kwaiyo ukiwa na modem yake inakuhakikishia upatikanaji wa internet popote ulipo. Uwe Majita, Simiyu, Mangaka, Tandaimba, Tunduru, kote huko katavi, kigoma full kujiachia
Dar es Salaam. Hakuna cha kasi wala nini
 
Karibuni sana, modem ya Airtel ni ya kuaminika
 
Back
Top Bottom