Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Iyo Sina nduguNahitaji WiFi ndongle ya airtel kama unayo
Unapatikana mkoa gani? Alafu Airtel ndiyo imesambaa karibia nchi nzima, kwaiyo ukiwa na modem yake inakuhakikishia upatikanaji wa internet popote ulipo. Uwe Majita, Simiyu, Mangaka, Tandaimba, Tunduru, kote huko katavi, kigoma full kujiachiaKasi gani kutoka airtel? Naichukia sana hii kampuni...network kama konokono...
Hawana. Hawajafika. True storyWanayo, sema hawajitangazi maana wanauzika
Tulishatoka kwenye kutumia modem sticks for Internet connectivity....Jipatie modem hii kwa bei ya 20,000/= ufurahie internet yenye kasi ya 4G kutoka Airtel huku ukifurahia Facebook ya bure. Kwanini uangaike na internet zisizoeleweka?! Nichek sasa kupitia 0716107367, Napatikana Dar es salaam
View attachment 656087 View attachment 656089
Wengine bado tunatumia modem kwa internet ya uhakika zaidi. Kuna muda smartphone inazingua, lakini ukiwa na modem unajihakikishia internet. Nakushauri jipatie sasa modem safi kabisa hiiTulishatoka kwenye kutumia modem sticks for Internet connectivity....
With smartphone ni wifi tu...unatumia smartphone Internet kwenye laptop au simu kwa simu etc.....
Good luck....Wengine bado tunatumia modem kwa internet ya uhakika zaidi. Kuna muda smartphone inazingua, lakini ukiwa na modem unajihakikishia internet. Nakushauri jipatie sasa modem safi kabisa hii
Dar es Salaam. Hakuna cha kasi wala niniUnapatikana mkoa gani? Alafu Airtel ndiyo imesambaa karibia nchi nzima, kwaiyo ukiwa na modem yake inakuhakikishia upatikanaji wa internet popote ulipo. Uwe Majita, Simiyu, Mangaka, Tandaimba, Tunduru, kote huko katavi, kigoma full kujiachia
Hahaa mordem ya airtel bei chee 20000? Hata 10000 sichukuiJipatie modem hii kwa bei ya 20,000/= ufurahie internet yenye kasi ya 4G kutoka Airtel huku ukifurahia Facebook ya bure. Kwanini uangaike na internet zisizoeleweka?! Nichek sasa kupitia 0716107367, Napatikana Dar es salaam
View attachment 656087 View attachment 656089