Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 191
- 129
Mna aina tofauti za motor zenye bei tofauti na hiyo? ...bei ya chiniHabari!
Tunauza mota za umeme (AC) za mageti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ofisini, kiwandani n.k. Mota zina uwezo wa kubeba/kusukuma geti lenye uzito wa hadi 1200KG (1.2 Ton) na zinakuja na remote.
Pia zina taa ya usalama wakati wa kufungua/kufunga.
Bei 1,000,000 TZS kwa moja. Ndani ya Dar utaletewa bure!
Piga simu au chati nasi WhatsApp kwenye +255 745 626 241.
View attachment 1774007
View attachment 1774006View attachment 1774009
Habari!Mna aina tofauti za motor zenye bei tofauti na hiyo? ...bei ya chini
Ahsante kwa kutambua vitu vizuri. Ni wajibu wetu kama wauzaji kuweka taarifa zote zenye kukidhi mahitaji kwa wateja wetu!Angalau nimeona tangazo linalojitosheleza JF. Hongera.
Habari!Hiyo bei pamoja na installation?je remote zake zikipotea zinapatika kwa urahisi?
Mngeuza na kufunga maisha yangekuwa rahisi sana,hasa linapokuja suala la warranty.Habari!
Bei tajwa hapo juu ni bila ufungaji, lakini tunapendekeza mafundi wa ufungaji kwa gharama nafuu kabisa!
Kuhusu remote, kila mota inakuja na remote mbili, na hata ikiharibika au kupotea remote zake zipo na utazipata kwa bei nafuu
Habari! Ahsante kwa ushauri, tunafanyia kazi tutakujuza hivi punde!Mngeuza na kufunga maisha yangekuwa rahisi sana,hasa linapokuja suala la warranty.
Habari! Tafadhali naomba namba yako ya simu PM nikupigie!Gharama za hao mafundi wanafungaje mm nahitaji kununua lkn kuseti mlangoni kucgoma zile reli nafanya MWENYEWE ntahitaji mtu wa kunifanyia comfigaresheni naomba nijue bei nikija kununua nione kma nitamudu lkn hyo mota naimudu mpka sasa
Mngeuza na kufunga maisha yangekuwa rahisi sana,hasa linapokuja suala la warranty.U
Habari! Tumesikia maoni yenu na tumeyafanyia kazi! Sasa kwa bei ile ile tutakuletea gate operator na kukufungia nyumbani kwako na kukupa mafunzo ya mwnzo! Wahi offer hii mapema!Mngeuza na kufunga maisha yangekuwa rahisi sana,hasa linapokuja suala la warranty.
Mangi uko vzr, komaa broHabari! Tumesikia maoni yenu na tumeyafanyia kazi! Sasa kwa bei ile ile tutakuletea gate operator na kukufungia nyumbani kwako na kukupa mafunzo ya mwnzo! Wahi offer hii mapema!
Gate Operator (Mota) zenye remote control 2, magnetic sensor (kuzuia geti kugonga kitu), Warning light... Kwa 1,000,000 Tu!
Habari! Ndio mashine bado ipo, imebaki moja kiongozi, tuwasilianeHii mambo bado inapatikana??