INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

ELIAS MICHAEL MORRIS

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
385
Reaction score
298
bado bidhaa zetu zinapatikana, na kwasasa chaguo ni lako ukitaka kununua yaliopo ofisini kwetu sawa au ukitaka tukutengenezee hata hapo nyumbani kwako pia sawa, sisi tupo kwaajili ya kukuhudumia kwa kiwango cha juu. jipatie sofa set kwa bei nafuu zaidi katika ofisi zetu zilizopo Mtoni mtongani na Tabata Dar west Dar es salaam. pia tunafanya repair sofa za aina yoyote, tunauza moja, mawili au set nzima kulingana na mahitaji yako. utapata list na warrant ya mwaka mmoja. pia ukitaka vitanda na makabati vinapatikana katika office zetu za Keko.
tsh 960,000 kwa set pamoja na usafiri popote ndani ya dar es salaam pia maelewano yapo, na kwa walio nje ya dsm tutaelewana kutokan na umbali

CONTACTS:
+255784133449/
+255621038229.
eliusmoris2@gmail.com
 
Duh...
hizo design, hapana kwa kweli
sisi tunatengeneza sofa za design mbali mbali. ila hizo L shep ndio zinazotupatia wateja weng kwa sasa ndiomaana utazikuta kwa wingi ofisin kwangu. ila wewe kama unataka sofa la design yoyote utatengenezewa na hata ukitaka vifaa kununua mwenyewe ili husiwe na wasi wasi wa quarity sisi tutakufanyia kazi tu, tena hata apo apo nyumbani kwako au popote upendapo wewe.
 
sisi tunatumia vitambaa high quarity na mito ya Dodoma na ndiomaana tunatoa warrant bila wasi wasi wowote sababu tuna uhakika na kazi zetu, ila kama ukitaka unaweza ukanunua mwenyewe vifaa kama godoro na vitambaa, sisi tutakufanyia kazi na naamini utaipenda.
 
hizi ndio kazi zetu ndugu, tunauzoefu nazo wa zaidi ya miaka 12, hivyo tunajua jinsi ya kumpa kilicho bora mteja wetu kwa kile atakachokichagua, pia tutampa ushauri wa matumizi bora ya sofa ili iweze kudumu kwa miaka mingi, karibu
 
Huu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,

Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,

Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
wala hujakosea kiongozi, ila maelewano ninayoyazungumzia apo ni ya aina nyingi, hizo bei nilizoweka hapo ni za pamoja na usafir, hivyo kama mteja akiwa na usafiri wake au anaishi jirani na eneo office ilipo ni lazima bei ishuke, pia mda mwengine mteja haitaji seti nzima bali anahitaji viwili au vitatu hivyo na hapo pia ni lazima pawe na maelewano na mwisho kabisa wateja wengi ukiwatajia bei yako kabisa mf: 890,000 kwa seti, yeye ataomba umpunguzie na husipompunguzia hata 10,000 basi ujue hatanunua uyo, hivyo sisi tunafanya biashara kulingana na mfumo wa uuzaji ulivyo, i mean wateja ndo wanaotulazimisha tuuze hivi.
 
Umejibu vizur kijana
 
hizi za mchina tulikua tunaagiza kipindi cha nyuma katika office yetu ya airport jirani na benk ya NMB ila kwa sasa tumeifunga na tumesitisha uagizaji mpaka hapo hari ya uingizaji bidhaa nchini itakapokua sawa
 
Huu upumbavu wa kuandika bei alafu unasema maelewano yapo siupendi yaani haieleweki dalali yupi mfanyabiashara yupi,

Kwan ukiandika 750,000haipungui kuna shida gani,

Kuliko kuandika 960,000 alafu unakuja kuuza laki saba, mbadilike!
mkuu punguza jazba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…