INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

asante kiongozi, unajua. katika biashara tunakutana na wateja wa aina na akili tofauti hivyo changamoto wanazotupa ndio zinatufanya tunakomaa ktk masuala ya customer care

Ni kweli kabisa na kwa jinsi waTz tulivyo, hakika kutuhudumia inahitaji uwe na uvumilivu wa kimalaika.
Nimependa pia options mlizoweka za mteja akitaka alete materials zake nanyi mpige kazi tu. Hiyo imekaa poa sana. Business diversification!
 
Ni kweli kabisa na kwa jinsi waTz tulivyo, hakika kutuhudumia inahitaji uwe na uvumilivu wa kimalaika.
Nimependa pia options mlizoweka za mteja akitaka alete materials zake nanyi mpige kazi tu. Hiyo imekaa poa sana. Business diversification!
nashukuru kwa kunitia moyo ndugu, karibu sana
 
Mkuu nikihitaji aina hii Bei itakuwa kiasi gani? Nahitaji 2-seater n 1-seater sofas.
 

Attachments

  • tapatalk_1492669741788.jpeg
    33.9 KB · Views: 145
Quarity x=quality √
Apo apo x=hapo hapo√
 
Husipompunguzia. X= usipompunguzia√
 
asante ndugu kwa ushauri wako mzuri, hakika ubora (quarity) katika kazi zangu ndio kitu ninachozingatia, nina experience ya Siku nyingi na kazi hii, i know what my customers need, karibu sana ndugu,
Quarity X=quality √
 
Naomba kuona bed set
ndugu, kwa sasa hatuna mzigo wa bed set kwasababu ofisi/showroom yetu ya yombo ambayo ndio ilikua na bed set na thamani nyengine iliungua moto na furniture zote zilizokuwemo mwishoni mwa mwaka Jana, na ofisi zetu zilizobaki za Mtoni mtongani, Keko na tabata hazna bed set ila kwakua mafundi wetu wa vitanda bado wapo hapa hapa ofisini tunaweza kukutengenezea kama unahitaji!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…