INAUZWA Jipatie oil based perfumes kwa bei ya jumla na rejareja

Nedroma

Member
Joined
Mar 26, 2016
Posts
40
Reaction score
81
Kunukia vizuri ni muhimu mno aisee...tuna Perfumes kali kabisa, Long Lasting na Bei Kitonga[emoji817].

Perfumes zetu compliments lazima upate kwa sababu zinanukia vizuri, zimepoa na zinakaa kwenye nguo zaidi ya masaa 72. Karibu unukie vizuri.

Tunauza kwa Jumla na Rejareja.

100ml - 55,000Tsh
50ml - 35,000Tsh
30ml - 25,000Tsh

Kwa Wakazi wa Dar es Salaam na wale wa Mikoani tunafanya FREE DELIVERY.

Call / Whasap us NOW : 0767 543 624

Smell fresh through out the day with our long lasting perfumes[emoji91][emoji91][emoji91].

Karibuni sana.

IMG_20211217_102237_871.jpg
IMG_20211216_175411_882.jpg
IMG_20211217_102201_808.jpg
IMG_20211217_102154_800.jpg
20210820_152508.jpg
 
Kama uvungu wa pu.mb.u

Maswali gani haya huwa mnauliza
Usiharibu biashara ya MTU mkuu....kaa mbali na kitu kinachoitwa advertisement. Swali liko sahihi kabisa sema umeamua kukurupuka na bangi zako swain.
Hujui kuna perfume zingine ukipaka unanukia kama pipi? Au hujui kuna perfume zingine huwa zinakera sana watu wengine? Shenzi kabisa.
 
Ungetusaidia kutuambia zinafanana na harufu ya manukato gani kwa haya tunayoyajua..au harufu yake ni ya kipekee.
 
Kunukia vizuri ni muhimu mno aisee...tuna Perfumes kali kabisa, Long Lasting na Bei Kitonga[emoji817].

Perfumes zetu compliments lazima upate kwa sababu zinanukia vizuri, zimepoa na zinakaa kwenye nguo zaidi ya masaa 72....karibu unukie vizuri.

Tunauza kwa Jumla na Rejareja.

100ml - 55,000Tsh
50ml - 35,000Tsh
30ml - 25,000Tsh

Kwa Wakazi wa Dar es Salaam na wale wa Mikoani tunafanya FREE DELIVERY.

Call / Whasap us NOW : 0767 543 624

Smell fresh through out the day with our long lasting perfumes[emoji91][emoji91][emoji91].

Karibuni sana.

View attachment 2507530View attachment 2507531View attachment 2507532View attachment 2507533View attachment 2507534
Hiyo Black Opium imetengenezwa kwa mafuta ya jani?
 
Usiharibu biashara ya MTU mkuu....kaa mbali na kitu kinachoitwa advertisement. Swali liko sahihi kabisa sema umeamua kukurupuka na bangi zako swain.
Hujui kuna perfume zingine ukipaka unanukia kama pipi? Au hujui kuna perfume zingine huwa zinakera sana watu wengine? Shenzi kabisa.
Ni kweli yapo manukato yana harufu kali sana inayokera wengine ila hizi zetu zimepoa harufu yake haikukeri au kukera wengine.

Perfumes zetu ni mchanganyiko wa Floral na Fruity mfano Jasmine, Vanilla, Citrus nk

Asante.
 
Ungetusaidia kutuambia zinafanana na harufu ya manukato gani kwa haya tunayoyajua..au harufu yake ni ya kipekee.
Harufu zake ni kama hizo ambazo mmezizoea..kama umezoea kutumia Sauvage Dior or Creed Aventus nk basi harufu ni hiyohiyo hazitofautiani.

Asante
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hiyo Black Opium imetengenezwa kwa mafuta ya jani?
Perfume yoyote unayoiona imetengenezwa na kitu kinaitwa Notes..kuna Top notes, middle notes na base notes. Hizi notes tatu ambazo of coarse ni mafuta zikichanganywa kwa pamoja ndo unapata ile scent ya perfume unayoisikia ukijipulizia.

So kukujibu swali lako Black Opium ni mchanganyiko wa mafuta yafuatayo:
Top notes ni Pear, Pink Pepper na Orange Blossom; middle notes ni Coffee, Jasmine, Bitter Almond na Licorice; Base notes ni Vanilla, Patchouli, Cashmere Wood na Cedar.

Asante.
 
Harufu zake ni kama hizo ambazo mmezizoea..kama umezoea kutumia Sauvage Dior or Creed Aventus nk basi harufu ni hiyohiyo hazitofautiani.

Asante
Ahsante..sikuziona vizuri hizo picha.
 
Kunukia vizuri ni muhimu mno aisee...tuna Perfumes kali kabisa, Long Lasting na Bei Kitonga[emoji817].

Perfumes zetu compliments lazima upate kwa sababu zinanukia vizuri, zimepoa na zinakaa kwenye nguo zaidi ya masaa 72. Karibu unukie vizuri.

Tunauza kwa Jumla na Rejareja.

100ml - 55,000Tsh
50ml - 35,000Tsh
30ml - 25,000Tsh

Kwa Wakazi wa Dar es Salaam na wale wa Mikoani tunafanya FREE DELIVERY.

Call / Whasap us NOW : 0767 543 624

Smell fresh through out the day with our long lasting perfumes[emoji91][emoji91][emoji91].

Karibuni sana.

View attachment 2507530View attachment 2507531View attachment 2507532View attachment 2507533View attachment 2507534
Sawa
 
Back
Top Bottom