INAUZWA Jipatie peanut bata (siagi ya karanga)

INAUZWA Jipatie peanut bata (siagi ya karanga)

KISUNZU YP

Senior Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
114
Reaction score
37
Peanut Butter (Siagi ya karanga)

Hii ni karanga iliyosagwa na kuchanganywa na chumvi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Siagi hii ni mbadala kabisa kwa wale wanaohitaji kubadilisha mfumo wa ulaji wa mafuta ya kupikia ukikumbuka kwamba mafuta haya sio salaama kwa afya.

UNAIPATAJE?

Tupo Tabora na tunatuma popote kwa kiwango utakacho. Wewe tu kuchangia gharama ya Usafiri kwa mikoani.

BEI ZETU NI KAMA IFUATAVYO
1. Kisado kidogo chenye ujazo sawa na lita 4 kikijaa Peanut butter tunauza Tsh. 40,000/=
LAKINI PIA YAPO MAKOPO (PARKING) YA UJAZO TOFAUTI TOFAUTI KWA BEI ZIFUATAZO
1. Kopo la Tsh.500
2. Kopo la Tsh. 1000
3. Kopo la Tsh. 2000 na Tsh. 3000
4. Kopo la mpaka Tsh. 5,000

MAWASILIANO:

Simu 0764 601 703
0769 601 703

WEKA ODA YAKO
TUNAPATIKANA MKOANI TABORA
KARIBUNI SANA

IMG_20210408_091321_950.jpg

IMG_20210408_091137_546.jpg

IMG_20210408_091344_541.jpg

Butter 1.jpg
 
asa hapo package ya 500 iko wap na ya 1000 iko wapi na ya 2000 iko wap na ya 3000 ndo ipi?
 
Hiyo ya matumizi ya kupikia huku ikiwa kama gundi hata nyumbani mtu anatengeneza mwenyewe kwa kinu au blender, tutengenezeeni peanut butter laini Kama mchuzi mzito unapaka mkate na kupikia. Kama American Dream wanayo nzuri sana unaweza kucopy.
 
Hiyo ni Peanut butter hauwezi kuwa kama ya Mchuzi. ni maoni mazuri ila mlengo wetu ni Peanut butter
 
Back
Top Bottom