Jipatie photocopy machine kwa bei chee, njoo na bei yako tumalizane.

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936

Njoo na bei yako tuyajenge.

Call:-
+255712302556
+255684240927

Hii fursa ni ya leo tu, simu na zianze kuita kwa ajili ya ukaguzi wa bidhaa na MANUNUZI.
 
Tuje na bei zetu !.
Nina shilingi elfu mbili hapa
 
Very slightly used, nimeitumia kwa miezi miwili tu, it is almost new. Naiuza sababu KAZI niliyopanga kuifanyia nimeota mbawa
Chief, jitahidi tu ufanyie kazi huu ushauri wangu. Maana kwa mteja serious wa hiyo mashine, idadi ya copy ilizotoa mpaka sasa ni muhimu zaidi kufahamu kuliko miezi iliyotumika.
 
Chief, jitahidi tu ufanyie kazi huu ushauri wangu. Maana kwa mteja serious wa hiyo mashine, idadi ya copy ilizotoa mpaka sasa ni muhimu zaidi kufahamu kuliko miezi iliyotumika.
Nakushukuru. Mteja anaruhusiwa kuja na technics zake zote. Mimi sio mjuzi sana wa mambo hayo
 
Haifai kumtaka mnunuzi ataje bei yeye

Anyways nina laki moja, serious nahitaji hiyo kitu
 
Haifai kumtaka mnunuzi ataje bei yeye

Anyways nina laki moja, serious nahitaji hiyo kitu
Vyema sana, je unadhani kila bei inakubalika? What do you know about bidding?
 
Kama tunakubaliana nakupa laki moja kisha nyingine nikulipe by instalments maana nina laki tu
 
Akishindwa huyo niambie niwe nakupa 200k kila mwez...
Nikulipe miez mingap , tutapanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…