INAUZWA Jipatie pikipiki kwa bei poa

INAUZWA Jipatie pikipiki kwa bei poa

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
739
Reaction score
1,113
PIKIPIKI BOXER 150 namba CAF
BEI: 1,700,000 Tshs
IMG-20210117-WA0115.jpg
IMG-20210117-WA0116.jpg
IMG-20210117-WA0117.jpg

Pikipiki ina full document
Engine safi.
Haina tatizo wala mgogoro.
Keko Dar es salaam.
Call0744033555
 
Pia
Tunauza pikipiki used aina mbalimbali kama FEKON HAOJUE na TVS

Wahi mapema tufanye biashara

Please call us on: 0744033555
 
Hii hapa Bajaj kwa 1,800,000 tu

Tupo Dar es salaam

0744033555
IMG-20210113-WA0009.jpg
IMG-20210113-WA0008.jpg
 
Mazungumzo mazuri ya biashara,
Nipigie kwa 0744033555.
Mteja kwetu ndio kila kitu.
 
Huyu dalali ye anakula % yake mnunuzi unaoambana na dola
Weww pamoja na Lee kuna mambo hamyafahamu katika biashara kama hizi.

Nimeainisha wazi kabisa kwamba pikipiki zote zina documents halali za umiliki.

Nà mnunuzi akipenda ataenda TRA na hata polisi kujithibitishia kama kuna madai yoyote ya vyombo tunavyouza.

Otherwise nakemea vikali hizi tabia zenu za kuharibia watu biashara.
 
Mkuu mimi nilikuwa namuelekezaa , sema ongeraa unatuwekeaa vitu vya bei poa kabisa ndo maana tunakuwa waoga
 
Huo uoga umeuona wapi?
Product yoyote kuwa bei ndogo hai justify kwamba ni illegal.

Watu wanauza hivyo wakiwa katika emergence states au labda kaona bidhaa imemzalishia vya kutosha.

Otherwise fuata hatua usinunue kwa kukurupuka.

1. Omba risiti ya manunuzi/kadi ya chombo husika

2. Nenda serikali za mitaa mkaandikishane juu ya hicho mnachouziana

3. Nenda TRA, Polisi fuatilia kama kuna rekodi zozote za madeni au uhalifu katika chombo husika
 
Asante kwa elimu yako mkuu...
 
Back
Top Bottom