Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Haina shida yoyote.Hiyo bajaji ina shida gani hadi iuzwe 1.8M??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] another MbagalaEINSTEIN112 njoo ujipatie majibu yako
Muulize maswali yako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] another Mbagala
Huyu dalali ye anakula % yake mnunuzi unaoambana na dolaMuulize maswali yako
Yawezekana yy ndo muhusika mkuuHuyu dalali ye anakula % yake mnunuzi unaoambana na dola
Weww pamoja na Lee kuna mambo hamyafahamu katika biashara kama hizi.Huyu dalali ye anakula % yake mnunuzi unaoambana na dola
Mkuu mimi nilikuwa namuelekezaa , sema ongeraa unatuwekeaa vitu vya bei poa kabisa ndo maana tunakuwa waogaWeww pamoja na Lee kuna mambo hamyafahamu katika biashara kama hizi.
Nimeainisha wazi kabisa kwamba pikipiki zote zina documents halali za umiliki.
Nà mnunuzi akipenda ataenda TRA na hata polisi kujithibitishia kama kuna madai yoyote ya vyombo tunavyouza.
Otherwise nakemea vikali hizi tabia zenu za kuharibia watu biashara.
Huo uoga umeuona wapi?Mkuu mimi nilikuwa namuelekezaa , sema ongeraa unatuwekeaa vitu vya bei poa kabisa ndo maana tunakuwa waoga
Asante kwa elimu yako mkuu...Huo uoga umeuona wapi?
Product yoyote kuwa bei ndogo hai justify kwamba ni illegal.
Watu wanauza hivyo wakiwa katika emergence states au labda kaona bidhaa imemzalishia vya kutosha.
Otherwise fuata hatua usinunue kwa kukurupuka.
1. Omba risiti ya manunuzi/kadi ya chombo husika
2. Nenda serikali za mitaa mkaandikishane juu ya hicho mnachouziana
3. Nenda TRA, Polisi fuatilia kama kuna rekodi zozote za madeni au uhalifu katika chombo husika
Karibu sana mkuuAsante kwa elimu yako mkuu...
NishakaribiaaKaribu sana mkuu