Plot4Sale Jipatie Plots za Bei Nafuu Kutoka Trust Solution Ltd

Marcel 12

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2022
Posts
483
Reaction score
696
[emoji2769]Ngazi Ya Kupanda Kiuchumi Ipo Kigamboni
[emoji2769]Hakikaa Hata Wewe Unaweza 143000 TU Kila Mwezi.
[emoji2769]Kamwe Usiruhusu Mazingira Yanayokuzunguka Kuzuia Ukuwaji Wako
[emoji2769] TRUST SOLUTION COMPANY LTD , Ni watu pekee watakaoweza Kufanya Ukuwe Kiuchumi Kwa Kuwekeza Kwenye Ardhi Kwa Malipo Ya Cash au Mkopo Ambao Utakuwa Unalipa Kidogo Kidogo.
[emoji2769] Tumekuletea Mradi Huu Upo KIGAMBONI BUYUNI [emoji95], Manispaa Ya KIGAMBONI.
[emoji736]MRADI UPO METER 200 KUTOKA BARABARA KUU
[emoji736]KM 1 KWENDA BAHARINI (1KM TO THE BEACH)
[emoji736] Square Meter 1 Cash 6500 na Mkopo Ni 8500 .
[emoji736] Anza Kwa Kulipa 143,000 tuh (Miezi 18)
[emoji736] Eneo ni Tambarare , Huduma zote za kijamii [emoji2515]
[emoji736] UMEME [emoji366], MAJI [emoji97] Na MAKAZI [emoji537][emoji536]
[emoji736] HATI KUTOKA WIZARANI LAZIMA.

[emoji625]Malipo Yetu Ni Ya Aina Mbili Cash na Installment (Kwa muda wa Miezi 18)
Kwa Mawasiliano [emoji338] +255714432091

N:B KUKUHUDUMIA KILICHO BORA NI JUKUMU LETU [emoji1753], ANDAA KESHO YAKO Na KWA FAIDA YA VIZAZI VYAKO.
b86f9ad9-2a51-4a26-8c6d-210aa8043d0b.jpg
 
Naona viwanja vya 300sqm hapo, mbona nilisikia Waziri kakataza kuuza viwanja vidogo?
 
Nyie ndo mnafanya Waziri anapiga marufuku viwanja vya hivi. Hizo barabara hata hazieleweki ni mita ngapi maana kuna sehemu zimekondeana sehemu zingine zimenenepa.
 
[emoji2769] FUNGUA NDOTO ZAKO NASI KWA TShs 143,000 Kila Mwezi Tuh.
[emoji2769]PATA VIWANJA VILIVYOPIMWA KUTOKA KWETU TRUST SOLUTION COMPANY LTD, KWA BEI NAFUU KABISA .
[emoji2769]MALIPO YETU YAPO YA FEDHA TASLIMU (CASH) na MKOPO BILA DHAMANA.
[emoji2769] TUMEKULETEA MIRADI HII IPO KIGAMBONI BUYUNI na KIGAMBONI MBUTU KICHANGANI.
[emoji736]Mradi Huu wa Kigamboni BUYUNI Tunauza kwa Square Meter 1 Cash ni 6500 na MKOPO ni 8500.
[emoji736]Mradi Upo Meter 200 Kutoka Barabara Kuu Ya Kigamboni
[emoji736]Km 1 Kwenda Baharini (1 Km To The Beach)
[emoji736]Anza Kwa Kulipa 143000 Tuh Kila Mwezi (18 months)
[emoji736]Eneo ni Tambararee , Huduma Zote Za Kijamii
[emoji736] UMEME , MAJI na MAKAZI
[emoji736]HATI KUTOKA WIZARANI LAZIMA .

KWA MBUTU KICHANGANI TOWN SITES
[emoji2769]Mradi Huu Tunauza Kwa Square Meter 1 Cash ni 15000 na MKOPO ni 20000
[emoji2769]Mradi Upo Km 20 Kutoka Ferry
[emoji2769]Km 2 To The Beach (Km 2 Kuelekea Baharini)
[emoji2769]Eneo Ni Tambararee, Huduma Zote Za Kijamii
[emoji2769] UMEME , MAJI na MAKAZI
[emoji2769]HATI KUTOKA WIZARANI LAZIMA
Kwa Mawasiliano +255714432091

N:B ANDAA MAKAZI KWA KESHO YAKO NA VIZAZI VYAKO.
364b3063-5dca-4a7a-a05d-22b6d6383fa8.jpg
 
Hiyo hati kutoka wizarani mnatoa bure au ndo mambo ya 10%
 
Umbali kutoka ferry ni km 20 mkuu
Sina uhakika kama huu umbali ni sahihi. Sababu umbali kutoka Ferry mpaka Magorofa ya NSSF pale ni 21km, sasa kutokea pale unaingia kushoto umbali Gani!
 
[emoji2769] FUNGUA NDOTO ZAKO NASI KWA TShs 143,000 Kila Mwezi Tuh.
[emoji2769]PATA VIWANJA VILIVYOPIMWA KUTOKA KWETU TRUST SOLUTION COMPANY LTD, KWA BEI NAFUU KABISA .
[emoji2769]MALIPO YETU YAPO YA FEDHA TASLIMU (CASH) na MKOPO BILA DHAMANA.
[emoji2769] TUMEKULETEA MIRADI HII IPO KIGAMBONI BUYUNI na KIGAMBONI MBUTU KICHANGANI.
[emoji736]Mradi Huu wa Kigamboni BUYUNI Tunauza kwa Square Meter 1 Cash ni 6500 na MKOPO ni 8500.
[emoji736]Mradi Upo Meter 200 Kutoka Barabara Kuu Ya Kigamboni
[emoji736]Km 1 Kwenda Baharini (1 Km To The Beach)
[emoji736]Anza Kwa Kulipa 143000 Tuh Kila Mwezi (18 months)
[emoji736]Eneo ni Tambararee , Huduma Zote Za Kijamii
[emoji736] UMEME , MAJI na MAKAZI
[emoji736]HATI KUTOKA WIZARANI LAZIMA .

KWA MBUTU KICHANGANI TOWN SITES
[emoji2769]Mradi Huu Tunauza Kwa Square Meter 1 Cash ni 15000 na MKOPO ni 20000
[emoji2769]Mradi Upo Km 20 Kutoka Ferry
[emoji2769]Km 2 To The Beach (Km 2 Kuelekea Baharini)
[emoji2769]Eneo Ni Tambararee, Huduma Zote Za Kijamii
[emoji2769] UMEME , MAJI na MAKAZI
[emoji2769]HATI KUTOKA WIZARANI LAZIMA
Kwa Mawasiliano +255714432091

N:B ANDAA MAKAZI KWA KESHO YAKO NA VIZAZI VYAKO.
View attachment 2294863
Well
 
Ikiwa nimeanza kuchangia 143k kwa miezi 10 baadae nikakwama kuendelea pesa yangu inarudi
 
Naona viwanja vya 300sqm hapo, mbona nilisikia Waziri kakataza kuuza viwanja vidogo?
Imesisitiza haijakataza..... ukisema imekataza ni lazima uwe na supportive documents
 
Back
Top Bottom