Jipatie Power bank ya umeme,kwa ajili ya Jengo,Ofisi au chumba n.k

Jipatie Power bank ya umeme,kwa ajili ya Jengo,Ofisi au chumba n.k

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Ifahamu Power bank ya umeme,kwa ajili ya Jengo,Ofisi au chumba n.k


ProductMarketingAdMaker_30122024_220857.png


Katika maisha ya kila siku tuna changamoto ya kukatika kwa umeme kwa maeneo mengi. Kutokuwa na umeme wa kuaminika kunaweza kuathiri shughuli muhimu kama vile mwanga, kuangalia televisheni, na hata matumizi ya vifaa vya kidigitali.

Hata hivyo, kuna teknolojia rahisi na ya gharama nafuu inayoweza kukusaidia kukabiliana na changamoto hii.

Mfumo wa UPS,ambapo umeme ukiwepo system inachajiwa na umeme ukikatika system inakupa huduma

Mfumo wa UPS(uninterruptible power supply)ni nini?

Mfumo huu unajumuisha:

1. Battery: Hii ni sehemu ya kuhifadhi umeme wakati umeme wa kawaida upo.


2. Inverter: Inabadilisha umeme wa battery ndio unaotumika kuendesha vifaa vyako vya nyumbani umeme ukikatika.



Jinsi Mfumo Huu Unavyofanya Kazi

Umeme Unapokuwepo: Battery inajaa chaji kwa kutumia umeme wa kawaida (grid).

Umeme Unapokatika: Battery iliyochajiwa huanza kutoa umeme kupitia inverter kwa ajili ya vifaa vyako vya msingi kama taa, televisheni, na router za intaneti.


Faida za Kuinstall Mfumo wa Battery na Inverter

1. Kuendelea na Shughuli Zako Bila Usumbufu

Umeme wa akiba hukuwezesha kuendelea kutumia vifaa muhimu hata wakati umeme wa kawaida umekatika.



2. Gharama Nafuu na Ufanisi

Tofauti na jenereta, mfumo huu hauna gharama endelevu kama za mafuta na ni rahisi zaidi kutunza.

Hauchafui mazingira kwa sababu hauna moshi wala kelele.

Pia hauhitaji Solar



3. Usalama wa Vifaa Vyako vya Umeme

Inverter ya kisasa ina mfumo wa kulinda vifaa vyako dhidi ya umeme mbaya.



4. Matumizi Bora kwa Vifaa vya Msingi

Mfumo huu unafaa zaidi kwa vifaa vya matumizi madogo kama taa za LED, televisheni, simu, na hata kompyuta ndogo.


Kwa Nini Hii Ni Muhimu ufunge mfumo huu?

Umeme unaotegemewa si wa uhakika katika maeneo mengi.

Ni suluhisho linalofaa kwa hali ya kiuchumi, kwani unatumia nguvu ya umeme uliyonayo kabla ya kukatika, badala ya kutegemea chanzo kingine cha gharama kubwa.

ZINGATIA

*Bei ya pawer bank itategemea kiasi cha whats unazotaka kuendesha na kwa muda gani uneme ukikatika
*Mfumo wa power bank backup na mfumo wa Solar backup vinatufautiana kwa namna moja...solar bank inachajiwa na Solar pannels kupitia mwanga wa jua,so laxima uwe na Panel

Wakati power bank backup yenyewe inachajiwa na umeme pale ukiwepo huhitaji Panel za Solar.

Mfano:

Makadilio ya mfumo wa power Bank

*Mzigo ni watts 1000

Saa 1=Tsh 2,000,000/-

Saa 2=Tsh 2,500,000/-

Saa 3 hadi 4 =Tsh 3,000,000/-

Saa 5 hadi 7=Tsh 3,500,000/-

Saa 8 hadi 10=Tsh 4,000,000/-

Karibu 0782971984
 
BEI zinategemea kiasi gani cha wattage na Muda (Wh) unachotaka kukiendesha kupitia backup

Hivyo kwa kutoa picha mfano una watt zifuatazo na unataka kuziendesha kwa SAA 1 kupitia backup yake bei ya mfumo ni kama ifuatavyo

1...500W=800,000/
2...750W=1,100,000/
3...1000W=2,00,000/
4...1500W=2,600,000/
5...2000W=3,400,000/

hii ni basic kwa saa moja kwa wattage hizo...

Hivyo ni vizuri kama unahitaji bei useme una vifaa vyenye jumla ya watt ngapi na unataka vifanye kazi kwa masaa mangapi kipindi grid ipo off

Hapo utapata bei harisi inayo kuhusu

KARIBUNI.
 
BEI zinategemea kiasi gani cha wattage na Muda (Wh) unachotaka kukiendesha kupitia backup

Hivyo kwa kutoa picha mfano una watt zifuatazo na unataka kuziendesha kwa SAA 1 kupitia backup yake bei ya mfumo ni kama ifuatavyo

1...500W=800,000/
2...750W=1,100,000/
3...1000W=2,00,000/
4...1500W=2,600,000/
5...2000W=3,400,000/

hii ni basic kwa saa moja kwa wattage hizo...

Hivyo ni vizuri kama unahitaji bei useme una vifaa vyenye jumla ya watt ngapi na unataka vifanye kazi kwa masaa mangapi kipindi grid ipo off

Hapo utapata bei harisi inayo kuhusu

KARIBUNI.
 
Jina la kitaamu hicho kifaa kinaitwaje?
Appliance Backup Unit (ABU) hichi sio kifaa ni mfumo unao kamilisha uhifadhi wa nishati wakati umeme upo,na kuutumia umeme ukikatika.
Unahusisha vifaa vifuatavyo

1.Batteries(Bank ya umeme)

2.Pure sine wave Inverter(kubadilisha umeme wa battery DC kwenda kuwa umeme wa mjumbani AC)pia ndiyo yenye jukumu la kulinda vifaa unavyo vihudumia dhidi ya Surge,Short circuit na overvoltage

3.Charging System(Inabadili umeme wa Ac wa Tanesco kubaadilisha kuwa umeme aina ya DC ili uhifaziwe katika batteries,kwa ajili ya kutunzwa kwa matumizi ya baadae)

Chaging system inahusisha Convertors na Charging Controls

Mfumo huu unachajiwa na umemewa Grid(Tanesco),hautumii solar ila unaweza kuongezea mfumo wa solar ukitaka ili iwe inachajiwa na kimojawapo au vyote kwa pamoja.
 
Makadilio ya mfumo wa power Bank

*Kwa wa watts 1000

Saa 1=Tsh 2,000,000/-

Saa 2=Tsh 2,500,000/-

Saa 3 hadi 4 =Tsh 3,000,000/-

Saa 5 hadi 7=Tsh 3,500,000/-

Saa 8 hadi 10=Tsh 4,000,000/-
 
Back
Top Bottom