Jipatie pure leather shoes (viatu vya ngozi imara na bora kwaajili ya ofisini na mashuleni)

Jipatie pure leather shoes (viatu vya ngozi imara na bora kwaajili ya ofisini na mashuleni)

Rommy Ronny

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
664
Reaction score
884
Zaa saa hizi ndugu zangu.

Jipatie viatu Imara na kwa gharama nafuu vya ngozi kuanzia sh 25,000 mpaka 37,000 kwaajili yako na kwaajili ya mtoto wako au ndugu kwaajili ya shule.

Ni viatu Imara na vya ubora wa juu, Kama vinavyoonekana katika picha niliyoambatanisha. na pia kama utahitaji kufikishiwa mzigo ulipo tutakufikishia na gharama ya usafiri tutaongea kutokana na umbali uliokuwepo. wasiliana nasi kama utahitaji Picha zaidi au video ya viatu utakavyovitaka ili iwe rahisi kama hutofika dukani kwetu iwe rahisi kujua mzigo tunakuletea ni aina gani wahitaji kwa mahitaji ya wakubwa na watoto pia.

Duka linapatikana Tabata Baracuda karibia na Copa Cabana Pub.

Wasiliana Nasi Kupitia:
Phone No. 0714054545
E-mail: robertmziwanda@gmail.com

View attachment 271001View attachment 271002View attachment 271003View attachment 271004 VIATU 2.pngWATOTO 1.png
 
vimetengenezwa wapi? Kiatu ngozi original sh. 25,000, huyu nina wasi wasi ni mchina
 
vimetengenezwa wapi? Kiatu ngozi original sh. 25,000, huyu nina wasi wasi ni mchina

Chief karibu dukan uone km kuna mchina hata mmoja, kiongoz kuna vya watoto na wakubwa ni ngozi pure na made in Tanzania hvyo hapo vyajielezea
 
Chief karibu dukan uone km kuna mchina hata mmoja, kiongoz kuna vya watoto na wakubwa ni ngozi pure na made in Tanzania hvyo hapo vyajielezea

Kama ni made in TZ nutakuja mkuu. Asante sana
 
Matege tunaweza wasiliana kwa numb ya simu ya hapo juu nimeandika alf tutaongea na kukubaliana tutafanyaje na njia gani utavipata kwa urahisi
 
Back
Top Bottom