Jipatie Rafiki/Mchumba

Jipatie Rafiki/Mchumba

Ray M

Senior Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
182
Reaction score
61
Tumeanzisha Facebook Page yenye lengo la kuwapatia Watanzania popote pale walipo, fursa ya kujitafuta marafiki na hata wachumba ulimwenguni kote.

Cha kufanya, like Page yetu hapa kisha utakuwa na uwezo wa kupost hitaji lako kama ni Rafiki au Mchumba na kuweka mawasiliano yako kisha watu watawasiliana na wewe. Pia utaweza kupitia Post za wengine kuona kama yupo anayekufaa kisha uwasiliane naye.

Watu wote Mnakaribishwa bila UBAGUZI wowote.

Jitafutie Rafiki / Mchumba | Facebook
 
mapenzi ya shule haya..wengine tumekwisha kuota sugu za mapenzi..
 
Back
Top Bottom