Matatizo mengi ya ngozi husababishwa na matumizi ya sabuni na vipodozi vyenye kemikali mingi pamoja na miale ya jua katika maisha ya kila siku.
Faida ya matumizi ya sabuni za mazao ya nyuki ni:
1) Huboresha ngozi kuipatia virutubisho vinavyoondolewa na kemikali za vipodozi vingine
2) Huondoa mikunjo usoni
3) Huondoa mba na fangasi katika ngozi na maeneo ya sehemu za Siri