Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,239
Kaeni na masanitaiza yenu nyie mmeona janga imekuwa fursa kwenu kupandisha bei
Nasema hivi sinunui
Kumbe ziko Bei juu Sana..!!
Nenda MSD wanauza, za 250ml ni TZS. 5,500, za 500ml ni TZS. 10,000. Wanazo za ujazo tofauti.Kumbe ziko Bei juu Sana..!!
Conc. ni ngapi? maana umeonyesha volume tuu,na kwenye sanitizer kitu muhimu zaidi ni conc.
Lifestyle sanitizer wanauza 100ml kwa 2500
Mbona zipo kibao muu bei ya jumla ni kwa mils 100 elfu30 kwa katoni
Zipo za ujazo wa
- 60mls kwa 8k
- 200ml kwa 15k
Kwa wateja wa dar ukichukua kuanzia 2 na kuendelea za 200ml au 3 na kuendelea za 60ml... unaletewa ulipo. Mikoani pia tunatuma kuanzia 15 pieces kwa bei chee.
KARIBUNI TUPO MAKUMBUSHO DSM,
Mawasiliano 0769509430 na 0716704990.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaeni na masanitaiza yenu nyie mmeona janga imekuwa fursa kwenu kupandisha bei
Nasema hivi sinunui